Oxlade wilshare
Member
- Aug 13, 2012
- 7
- 0
IFM tuko pa1 saaaaaaanaa. ingawa sikuiomba lakin comp. science is my interest.
Sasa wadau mi kuna kitu sijaelewa hapa.Baadhi ya vyuo kama UDOM walikuwa wameshatoa majina ya selected applicants kwa chuo chao, na baadhi ya majina hayamo ktk hiyo list (kama langu) ila TCU wamesema nimechaguliwa UDOM.
Imekaa vp hiyo????
BA IFM mpoooo?