Oxlade wilshare
Member
- Aug 13, 2012
- 7
- 0
Ukitaka kujua umechaguliwa chuo gani"ingia kwenye profile yako ya tcu utakuta chuo ulichochaguliwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IFM tuko pa1 saaaaaaanaa. ingawa sikuiomba lakin comp. science is my interest.
Sasa wadau mi kuna kitu sijaelewa hapa.Baadhi ya vyuo kama UDOM walikuwa wameshatoa majina ya selected applicants kwa chuo chao, na baadhi ya majina hayamo ktk hiyo list (kama langu) ila TCU wamesema nimechaguliwa UDOM.
Imekaa vp hiyo????
BA IFM mpoooo?