TCU transfer application

TCU transfer application

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Jamani mm TCU nashindwa kuwa elewa sijui ni ubabe ambao wana utumia au vipi kuna siku walitoa tangazo kuwa eti kwa PCB NA CBG watafanya mchakato wa available slots kuongezwa lakini ikawa kimya juzi kati tena wamesema wanao takabkufanya transfer ya chuo tukitegemea remaining slots nyingi zitakuwa za science cha ajabu na cha kushangaza naikuta moja ya education nayo kwa chuo kimoja zingine zote ni art na watu wa uchumi sas mimi nashundwa kuelewa hawa jamaa ni vipi?

Na wana mpango gani na masomo ya science ilihali wanajua vyuo vya science ni vichache jamani naombeni msaada cjui nifanyaje ndugu zangu
 
Jamani mm TCU nashindwa kuwa elewa sijui ni ubabe ambao wana utumia au vipi kuna siku walitoa tangazo kuwa eti kwa PCB NA CBG watafanya mchakato wa available slots kuongezwa lakini ikawa kimya juzi kati tena wamesema wanao takabkufanya transfer ya chuo tukitegemea remaining slots nyingi zitakuwa za science cha ajabu na cha kushangaza naikuta moja ya education nayo kwa chuo kimoja zingine zote ni art na watu wa uchumi sas mimi nashundwa kuelewa hawa jamaa ni vipi? Na wana mpango gani na masomo ya science ilihali wanajua vyuo vya science ni vichache jamani naombeni msaada cjui nifanyaje ndugu zangu

bora yako wewe, wangine mpka sasa wanashindwa kufanya tranfer! hawa jamaa hawajaeleza jinsi ya kufanya tranfer.
 
Ebu weka hapa hzo available slots walizotoa tukushauri ujaze ipi yenye soko.
 
msaada, hizo application form, nimejaribu kuziangalia kwenye wbsite yao sijaziona, mwenye msaada katika hili!
 
Mbona wame elekeza vizuri kabisa kaka

ili kuondoa utata, wangeeleza kama mtu anatakiwa kudownload kwanza, kisha azijze, alafu aziscan na kuzituma kupitia emeil yao. mbona kwenye kulipia pesa wameeleza utaratibu wote, bila kucha nafasi ya swali la nyongeza? hao ni washenzi tu!
 
Jaman mm sjaziona hizo available slots. aliyeziona naomba anisaidie niangalie wap....
then hiyo ela inalipwa mwanzoni au baada ya kuapata majibu
 
Jaman mm sjaziona hizo available slots. aliyeziona naomba anisaidie niangalie wap....
then hiyo ela inalipwa mwanzoni au baada ya kuapata majibu

1. Hizo available slots zinapatikana kwenye web ya TCU ukiwa home nenda sehemu ya news ana events utaziona nadhan itakua ni link ya pili kwenye orodha.

2. transfer inafanyika kwa kuidownload form inayopatikana hapo hapo kwenye news and events kwny link iliyoandikwa application procedure ukishaifungua inapatikana kwa chini kabisa

3. pesa unalipia CRDN au CBA pesa hiyo ambayo unailipa italipwa TU ENDAPO UMEFANIKIWA KUPATA TRANSFER means wanatumia utaratibu wa kuwajulisha kupitia no zenu mtakazijaza kwenye transfer form then utalipa na kuiscan pay in slip na kuwatumia kwa njia ya email waliyoitoa kwenye tangazo lao.

ALL THE BEST
 
1.Hizo available slots zinapatikana kwenye web ya TCU ukiwa home nenda sehemu ya news ana events utaziona nadhan itakua ni link ya pili kwenye orodha.
2.transfer inafanyika kwa kuidownload form inayopatikana hapo hapo kwenye news and events kwny link iliyoandikwa application procedure ukishaifungua inapatikana kwa chini kabisa
3.pesa unalipia CRDN au CBA pesa hiyo ambayo unailipa italipwa TU ENDAPO UMEFANIKIWA KUPATA TRANSFER means wanatumia utaratibu wa kuwajulisha kupitia no zenu mtakazijaza kwenye transfer form then utalipa na kuiscan pay in slip na kuwatumia kwa njia ya email waliyoitoa kwenye tangazo lao.

ALL THE BEST

Thanx a lot. and be blessed.
 
unadownload transfer advertisment unaprint ile page ya mwisho unajaza afu unascan unaituma
 
Daaaa mm cjaona pale program ya kujaza na nimejaza ambayo haipooo kabisaaa
 
Yaaani hawa jamaa bhna wazingua sanaaa hawaja jipanga cjuiii

wazinguaji tu hapa umaana wa tcu guidebook labda kdogo imetusaidia kujua aina za kozi zinazotolewa ktk vyuo mbalimbali ila excutive yao ziro mkuu
 
jaman me nmejaza form ya transfer.inachukua muda gan kupata majibu?naomba msaada!
 
Back
Top Bottom