ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Jamani mm TCU nashindwa kuwa elewa sijui ni ubabe ambao wana utumia au vipi kuna siku walitoa tangazo kuwa eti kwa PCB NA CBG watafanya mchakato wa available slots kuongezwa lakini ikawa kimya juzi kati tena wamesema wanao takabkufanya transfer ya chuo tukitegemea remaining slots nyingi zitakuwa za science cha ajabu na cha kushangaza naikuta moja ya education nayo kwa chuo kimoja zingine zote ni art na watu wa uchumi sas mimi nashundwa kuelewa hawa jamaa ni vipi?
Na wana mpango gani na masomo ya science ilihali wanajua vyuo vya science ni vichache jamani naombeni msaada cjui nifanyaje ndugu zangu
Na wana mpango gani na masomo ya science ilihali wanajua vyuo vya science ni vichache jamani naombeni msaada cjui nifanyaje ndugu zangu