ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Jamani mm TCU nashindwa kuwa elewa sijui ni ubabe ambao wana utumia au vipi kuna siku walitoa tangazo kuwa eti kwa PCB NA CBG watafanya mchakato wa available slots kuongezwa lakini ikawa kimya juzi kati tena wamesema wanao takabkufanya transfer ya chuo tukitegemea remaining slots nyingi zitakuwa za science cha ajabu na cha kushangaza naikuta moja ya education nayo kwa chuo kimoja zingine zote ni art na watu wa uchumi sas mimi nashundwa kuelewa hawa jamaa ni vipi? Na wana mpango gani na masomo ya science ilihali wanajua vyuo vya science ni vichache jamani naombeni msaada cjui nifanyaje ndugu zangu
bora yako wewe, wangine mpka sasa wanashindwa kufanya tranfer! hawa jamaa hawajaeleza jinsi ya kufanya tranfer.
Mbona wame elekeza vizuri kabisa kaka
Jaman mm sjaziona hizo available slots. aliyeziona naomba anisaidie niangalie wap....
then hiyo ela inalipwa mwanzoni au baada ya kuapata majibu
1.Hizo available slots zinapatikana kwenye web ya TCU ukiwa home nenda sehemu ya news ana events utaziona nadhan itakua ni link ya pili kwenye orodha.
2.transfer inafanyika kwa kuidownload form inayopatikana hapo hapo kwenye news and events kwny link iliyoandikwa application procedure ukishaifungua inapatikana kwa chini kabisa
3.pesa unalipia CRDN au CBA pesa hiyo ambayo unailipa italipwa TU ENDAPO UMEFANIKIWA KUPATA TRANSFER means wanatumia utaratibu wa kuwajulisha kupitia no zenu mtakazijaza kwenye transfer form then utalipa na kuiscan pay in slip na kuwatumia kwa njia ya email waliyoitoa kwenye tangazo lao.
ALL THE BEST
Thanx a lot. and be blessed.
Daaaa mm cjaona pale program ya kujaza na nimejaza ambayo haipooo kabisaaa
Kumbe wapo wengi yan mtu pcb,cbg na div1&2 yako unakuta bachelor of philosophy&theology.,
Yaaani hawa jamaa bhna wazingua sanaaa hawaja jipanga cjuiii
available slots hz hapa.
available slots hz hapa.