TCU-university transfer

TCU-university transfer

Baba Genovivah

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
756
Reaction score
249
hivi inawezekana kutuma form zaidi ya moja??..dogo aliaply 2nd kapata bsc chem unvst f bagamoyo ila hataki kwenda anataka kuomba pharmacy kiu-dar&stjohn,au nursing bugando&kcmc,..amepga CBG ana div2 gs D,chem B,bio B, geo B,bamC...hivi na tangazo la kuwatafutia chance waliokosa first round liliishia wapi mbona walioapply 2nd round wamepelekwa huko huko japo wana sifa kwny coz walizoomba 1st round?????
 
Unatakiwa ku2ma form moja 2, swala la kukosa faculty aliotaka inawezekana ni kwa sababu ya competition na admission capacity ya chuo alichoomba, ni vema awe makini sana kuomba nafsi acnganganie sana faculty zenye competition acje akabaki huku huko bagamoyo akiwa anatazama watalii.
 
kweli ndugu unapo omba angalia na capacity vingnevyo unaweza kukosa kabisa na unasifa ukajikuta mwenye dv 3 amepata kwakuwa alichagua koz ambayo haina ushindani.pole aende akatwange huko huko.
 
samahan. hv vyuo vyeny available slots ni vp
... au naweza chagua chuo chochote ninachokata kuamia...
 
Back
Top Bottom