Tcu vigeugeu

Tcu vigeugeu

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
54
Tcu mwanzo walinikubalia kozi nilizo apply kua na vigezo lakini leo naangalia nakuta nimewekewa kozi mbili NO kati ya tano nilizo apply
 
duuh poleeee! Ngoja na mm nikatembelee account yangu
 
Tcu mara leo ukute yes zote kesho yes zimepungua nini hiki sasa elewekeni basi kama yes iwe yes kweli sio eglibilty mara zina change ovyo
 
Mtandao ndugu not Eligible zisikutishe na wala co vigeugeu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
na watu wengi walijaza vyuo ambavyo hawana vigezo, kinachosababisha hilo mara nyingi ni hali ya kuremove prog moja kuiweka nyengine wanasema kama utatumia njia hii basi kuna uwezekano ile uliyoiingiza ikakuandikia yes badala ya no hata kama hauna minimum req

tcu walishauri kama unataka kubadili kozi nenda pale kwenye kuclear all baada ya hapo log out then log in afu uanze upya kufanya selection kwa njia hii hakuna kozi ambayo itakubali wakati hauna vigezo
 
Vigezo vyote vipo coz wanahitaji min point 5 UDSM coz ya Bachelor of commerce in bankink and financial services na vigezo ninavyo vyote pia Ardhi Land management and valuation na ninameet all minimum requirement ninazo na sijawahikubadilisha toka nimeapply na coz zote tano nlizo apply zilikua zimekubali but jana ndo zimechange na hizo mbili zimekua NO!!!
 
basi hapo nadhani lawama ziwaendee wao
 
Back
Top Bottom