tcu wafunga chuo cha tanzania kampala university

Hamna chuo hapo kwanza wote waliopo pale wana THREE zilizochoka,chuo ni UDSM TU
 
wa wapi wewe brother? inaomyesha clear elimu yako haijalusaidia kitu, haya wewe wa UD na one yako tuambie una nini kipya
 
Huwezi fananisha UD na chuo chako cha kata hicho hapa tupo ma TO wenye historia zetu mzeya vilaza mtapasikia tu
 
Tulikuwa tunakiita ni Chuo cha Watanzania waliofeli masomo yao, na kwa vyuo vya tanzania hawawezi kupokelewa. Siku hizi cjui kinachukua wenye sifa zipi
 
Back
Top Bottom