Tcu wamefanya biashara jana,kila mbuzi anakula kulingana na ulefu wa kamba yake.

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Hivi katika akili ya kawaida,airtell wanaweza kuchukua information tcu bila kulusiwa na tcu?ni jambo gumu sanaaaaaaaaaaa.lakin Tanzania maswala kama haya yamezoeleka sana,aya bwana,ukiwa kwenye system mambo safi,yaan watu wanawatumia wanafunzi kufanya biashara!du!:wave:
 
Hakukuwepo na malipo huduma ilikuwa bure kabisa.
 
Ulitozwa shs ngapi mpaka utoe lawama! dunia imekuwa ndogo mie nimeshajua nimechaguluwa kozi gani na chuo kipi.
 
Huu ni uhuni, je wenye line zingine na tusio na simu za mkononi hatuna haki ya kupata taarifa mapema kama kwa wenye line za airtel.
Hi ni aina ya rushwa. Idara ya serikali inaanza kufanya kazi ya uafisa masoko wa kampuni binafsi? Kwa kitendo hicho nani anaweza kusema ni wangapi wamejiunga na airtel na airtel wamepata kiasi gani? Hakuna cha bure
 
Mkuu umesahau kua hata mitihani inayosimamiwa na NECTA hua inavuja? Hii ndio Bongo kila ki2 kinapewa jina la kuvuja kumbe ni Kamchezo tu na yoyote anaweza cheza.. Afadhali nimejiona kwenye uvujaji huu
 
Huduma bado ipo japokuwa kwa sasa hawaoneshi admission wanasema subiri official announcement.

umesomeka mkuu thema,maana tangu asubuhi nahangaika tcu kumchekia rafiki yangu kujua alipopangwa but nimeshindwa kabisa nafikiri ni tatizo la tcu wenyewe kwa sababu sioni sehemu ya admision na huku airtel ni majanga zaidi ya snura
 
Jaman huo ndio ukweli,kwa nin airtell?mbona sio voda au tigo!kuna kitu apo!
 
Tz!! unaziba kwenye dona watu wanatafuta mpenyo mwingine - taasisi ya serikali kuvujisha siri kwa kampuni tena moja - fair competition??!!
 
Hivi hili jambo silielewi kabisa mbona wanatuchanganya jaman airtell wanahusiano gan?na tcu wakati ukija upande wa tcu bado kabisa.
 
Xion ajabu coz serikal ina hisa zake pale airtel ndo maana wakafix to landtel only and not mitandao mingine!!
 
Tz!! unaziba kwenye dona watu wanatafuta mpenyo mwingine - taasisi ya serikali kuvujisha siri kwa kampuni tena moja - fair competition??!!

ngoma ilivuja ile kwa muda wa masaa 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…