TCU wametoa post tayari

TCU wametoa post tayari

kwaiyo walikuwa wanabeeep watawaua vijana kwa presha bora watoe tu.litakuwa janga la tcu wakichelewa kufungua
 
Hv wadau kuna anaewza kutfahmsha tcu watatoa majna lini offclly???
 
jamani ,mbona mimi sijaona mabadiliko kwenye account yangu?unajuaje kuwa umechaguliwa chuo fulani?
 
mtu akisomea health system anaweza fanya kazi gani?

kuna jamaa yangu amesoma iyo koz lkn anajaza majina ya wagonjwa ktk computer pale muhimbili hosp....anapata mshahara mzr tu
 
Back
Top Bottom