Tcu wametoa selection zote kwa kila mwanafunzi

Tcu wametoa selection zote kwa kila mwanafunzi

Apex

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
425
Reaction score
61
Tayar selection zimetoka kujua umepangiwa wapi,login kwenye account yako,fungua my profile then my selected prgms kila k2 kiko wazi,fanya hivyo wakuu.
 
aksante kwa kutujuza umeamka ila uwe unajaribu kusoma uzi unazozikuta
 
Tayar selection zimetoka kujua umepangiwa wapi,login kwenye account yako,fungua my profile then my selected prgms kila k2 kiko wazi,fanya hivyo wakuu.

hivi wengine huwa mnakurupukia wapi! Huone utitiri wa post kama yako,jf waweke button ya Kwenzi
 
Back
Top Bottom