Tcu,wanaumiza kichwaaaaaaaaaaaaaaaa!kuna call for fourth selection!

Itaendelea hata 7th selection. Ni mpaka ASHA naye apate nafasi. Si mnamkumbuka huyu? Ni yule wa Div. 4 Fweza aliyesababisha mpaka leo matokeo ya Form IV hayatolewi na majina!!
 
kumbeeee nilikuwa sijuagi.
 
Back
Top Bottom