Duh kweli wewe bado Form Six. Unakamuwa nini sasa wakati unaweza kukuta course iliyofundishwa mwaka jana First year imehamishiwa 3rd Year au Mwalimu wake ameenda sabbatical Leave? Chuo unasoma kwa semester ukimaliza tupa kule Mdogo wangumkuu umenitisha bali nimepiga 1 safi na wamenipa iyo kitu mh! Inabidi nianze kukamuwa muda huu
pumbavu pumbavu alieandika habari hii, mimi niko hapa udsm mwaka wa nne, na sikubaliani hata kidogo na huyo alieandika upuuzi hapo juu. chuo ni chuo, tunayosoma udsm na sua, na sauti na st.joseph, na udom , mazumbe ni hayo hayo. wakufunzi ni hao hao. niwaambie jambo moja ukishaanza kubagua wenzio, basi ubaguzi utakuja mpaka ndani kwenu. udsm hapa ndani ya chuo kuna ubaguzi ulikithiri, prof anajiona prof, docka hivo ivo, tutor ivovo. na si wanafunzi muda mwingi tunawakosoa walimu hapa kwamba hawajui kufundisha, hawajui vitu, wao ni theory tu.
Kwa mjadala wa kuTOKUchukua division 2, kwa kozi ya kijinga na ngwini kama sheria, sio sahihi , kama Coeti maenginia wanachukua mpaka div 3, kwa masoma ya hesabu ngumungumu, ndo ije sheria , sijui ,act, tax law, businesi law. ni vitu hata aliepata div o anaweza mudu. UBAGUZI MI SIPENDI, KILA SIKU NAWAAMBIA WANA UDSM WASIJIONE WAO NDO BORA MAANA HAMNA LOLOTE. ANGALIA RATE YA EMPLOYMENT IFM ,NA SAUTI ZIKO JUU. SHENZI KABISA WE MBWA UNAEFUNDISHWA NA KABUDI, MAJAMBA, KIFIMBO,SHAO,DR TULIA, .HAPA UDSM HAO WATU WASHERIA WANAJIDAI SANA, WANARINGA, WANAJIONA NI WA KIPEKEE. KWA HIYO MSIMSHANGAE HUYO NI TABIA ZAO HAO NA WALIMU WAO. WAJINGA TU NYIE SHERIA.
KWANZA NIWAPE SIRI HAPA UDSM HAO SHERIA WANAJENGO MOJA, MADARASA WANATUMIA YA WATU, HAWANA HATA COLLAGE, KAZI KUIBIA MADARASA YA SKUL NYINGINE, SHERIA HAMNA MAKAZI HAPA UDS ZAIDI YA HICHO KIGOROFA CHA OFISI SHENZI WE. NIMEKUJA UDSM KABLA YAKO MBWA WE
Duh kweli wewe bado Form Six. Unakamuwa nini sasa wakati unaweza kukuta course iliyofundishwa mwaka jana First year imehamishiwa 3rd Year au Mwalimu wake ameenda sabbatical Leave? Chuo unasoma kwa semester ukimaliza tupa kule Mdogo wangu
udsm bado ni mama wa elimu si tu Tanzania bali kwa ukanda wote wa Africa mashariki na Kati! Kama hukuwahi au hujapata kusoma pale pole, kiukweli udsm hakuna mfano
Wanafunzi wa UDSM kwa kujiona mpaka wanabore wakati wengi wao hawana kaz na sisi vyuo vingine tunakubalika katika soko la ajira!
udsm bado ni mama wa elimu si tu Tanzania bali kwa ukanda wote wa Africa mashariki na Kati! Kama hukuwahi au hujapata kusoma pale pole, kiukweli udsm hakuna mfano
Jiulize hawa wanasheria boma wanaosaini mikataba mibovu inayoangamiza taifa walisoma chuo gani.
Hata hao wanafunzi wa kata unaodharau shule zao utakutana nao hapo ud na ukika vibaya wanakukimbiza tu.
Mkuu acha dharau.Kama unaona ud iko juu waliosoma Havard,cambrige na kwingineko watasemaji?
UDSM haina hati miliki ya maisha bora baada ya kumaliza masomo.
Muombe mungu tu akusaidie usome vizuri na umalize na ufanikiwe baada ya hapo.
Sina tabia ya kucomment sana hasa hili jukwaa lakini imenibidi.. kwanza nawasiwasi ata kama unapajua udsm, chuo chetu hakina makapi kama wewe wa kutoa lugha ya namna hiyo kwenye mitandao kama hii.. ata hiyo coet imekushinda kuandika, mwaka wa nne kwa corse yoyote udsm lazima atakua anajielewa na sio kama wdwe. na mwisho kabisa acha udsm hiitwe udsm, uwezi kuilinganisha na vyuo vingine vya siku hizi kama kiu, saut, teku, jordan kama upo uko usijipe kabisa moyopumbavu pumbavu alieandika habari hii, mimi niko hapa udsm mwaka wa nne, na sikubaliani hata kidogo na huyo alieandika upuuzi hapo juu. chuo ni chuo, tunayosoma udsm na sua, na sauti na st.joseph, na udom , mazumbe ni hayo hayo. wakufunzi ni hao hao. niwaambie jambo moja ukishaanza kubagua wenzio, basi ubaguzi utakuja mpaka ndani kwenu. udsm hapa ndani ya chuo kuna ubaguzi ulikithiri, prof anajiona prof
Sina tabia ya kucomment sana hasa hili jukwaa lakini imenibidi.. kwanza nawasiwasi ata kama unapajua udsm, chuo chetu hakina makapi kama wewe wa kutoa lugha ya namna hiyo kwenye mitandao kama hii.. ata hiyo coet imekushinda kuandika, mwaka wa nne kwa corse yoyote udsm lazima atakua anajielewa na sio kama wdwe. na mwisho kabisa acha udsm hiitwe udsm, uwezi kuilinganisha na vyuo vingine vya siku hizi kama kiu, saut, teku, jordan kama upo uko usijipe kabisa moyo
kama kawaida ya wahanga! Vp umepiga chuo gani vile cha kata?
Futa wewe kwanza kauli ya kuanza kukamuwa. Zaidi ya hayo wewe Nitachelewa sana kufuta kauli hii au vipi Mkuu!!! Naomba uchukue ushauri niliokupa kwamba usijisumbue kukamua chochote kabla ya kwenda Chuomkuu Futa kuuli yako unaniita Form six umenitusi kiasi hicho