TCU yatoa muda zaidi maombi ya vyuo!!!!

TCU yatoa muda zaidi maombi ya vyuo!!!!

dkashombo2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
539
Reaction score
119
Nikwamba TCU imetoa muda zaidi kwa maombi ya vyuo kuanzia kesho tar 3 sept hadi tar 7 sept pia wanaotaka kuhama vyuo na programe nao pia rukhusa kwa maelezo zaidi tembelea website a TCU
 
Nikwamba TCU imetoa muda zaidi kwa maombi ya vyuo kuanzia kesho tar 3 sept hadi tar 7 sept pia wanaotaka kuhama vyuo na programe nao pia rukhusa kwa maelezo zaidi tembelea website a TCU

kaka tupia link
 
kutokana na masharti yenyewe ya kuhama naona hiyo inshu wangeiita ''call for 4th round applicants'' overr
 
Back
Top Bottom