Edward Aloyce Gerem
Member
- May 24, 2015
- 19
- 10
kivip embufafanua sijakupata mkuu
mkuu hiyo mada imejadiliwa sana humu na jinsi ya kufanya ili mtu adahiliwe mwaka huu na baadhi maombi yao yashafanyiwa kazi kwa taarifa yao wanasema ndani ya wiki hii watawaruhusu kufanya application wale ambao wamefikia vigezo
mkuu mda ndio huu wasilisha hizo barua mambo yanafanyiwa kazi na wataruhusiwa kuapply tena baada ya kutolewa kwenye system
na mpya ni kuwa hata kama hukufanya usajili xhuo pia unatakiwa kuleta confirmation leter toka chuo ulichopangiwa npo tcu dis tym mekutana na hyo

Duh! Mbona mm nilienda hapo TCU siku ya ijumaa kuwasilisha hio barua.. Ukienda kule ndani wamebandika tangazo ya vitu gani vinapaswa kuwemo kwenye barua ikiwa hukuripoti kabisa chuo... Lakini hio ya confirmation letter kutoka chuo haikuepo unless wameiongeza ndani ya wiki hii[/Q
eti mkuu ofisi za tcu zipo sehemu gan???

Zipo maeneo ya makumbusho...ukifika pale makumbusho stand.. Unachukua pikipiki kwa buku jero watakupeleka mpaka TCU
http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Tangazo waombaji wapya.pdf someni hiyo link hapo msijazane ujinga hapa.
Zipo maeneo ya makumbusho...ukifika pale makumbusho stand.. Unachukua pikipiki kwa buku jero watakupeleka mpaka TCU
ahsante sana mkuu