TCU yawawekea ngumu walioshindwa kuripoti chuo mwaka jana

TCU yawawekea ngumu walioshindwa kuripoti chuo mwaka jana

Joined
May 24, 2015
Posts
19
Reaction score
10
Kwa wale walio pata udahili mwaka wa masomo 2014/2015 na wakashindwa kufika kulingana na sababu moja ama nyingine mwaka huu TCU imetia ngumu kuomba kudahiliwa mara ya pili.
 
mkuu hiyo mada imejadiliwa sana humu na jinsi ya kufanya ili mtu adahiliwe mwaka huu na baadhi maombi yao yashafanyiwa kazi kwa taarifa yao wanasema ndani ya wiki hii watawaruhusu kufanya application wale ambao wamefikia vigezo

mkuu vigezo gani? Vipi bado tunahitajika kutuma barua tcu?
 
unatuma tu barua tcu, wanasubiri ziwe nying wazifanyie kazi, wanakuondoa tu kwenye database uanze upya, na ata hivyo mi nadhan matokeo ya form 6 yakishatoka wataruhusu system mpya ya application kwa hyo wataweza kuapply, kwa sasa ndo ivo system ya wale wa mwaka jana bado ipo
 
Daaah nmewafnyia juzi ndugu zangu ikagoma eti wapo UDOM education.
Wamebaki mdomo wazi na registration walikuwa hawakufanya.
 
na mpya ni kuwa hata kama hukufanya usajili xhuo pia unatakiwa kuleta confirmation leter toka chuo ulichopangiwa npo tcu dis tym mekutana na hyo
 
na mpya ni kuwa hata kama hukufanya usajili xhuo pia unatakiwa kuleta confirmation leter toka chuo ulichopangiwa npo tcu dis tym mekutana na hyo

Mkuu mbona mwanzoni haikuwa hivyo na watu tulishaacha barua zetu hapo...na je vipi kuhusu wale ambao walishapeleka mwanzo umebahatika kupata mrejesho wa kwamba washaruhusiwa au bado
 
Yani mkuu umenena kabisa mwaka huu ni mgumu sana...lazima watu watasimilia ki ukweli
 
na mpya ni kuwa hata kama hukufanya usajili xhuo pia unatakiwa kuleta confirmation leter toka chuo ulichopangiwa npo tcu dis tym mekutana na hyo

Duh! Mbona mm nilienda hapo TCU siku ya ijumaa kuwasilisha hio barua.. Ukienda kule ndani wamebandika tangazo ya vitu gani vinapaswa kuwemo kwenye barua ikiwa hukuripoti kabisa chuo... Lakini hio ya confirmation letter kutoka chuo haikuepo unless wameiongeza ndani ya wiki hii
 
na mpya ni kuwa hata kama hukufanya usajili xhuo pia unatakiwa kuleta confirmation leter toka chuo ulichopangiwa npo tcu dis tym mekutana na hyo

duh! Balaa gani hili mi nilipangiwa st. Joseph songea nikitokea moshi nilienda kuripoti kuwa sitajiunga na masomo mwaka jana hawakunipa barua yeyote sasa hao tcu wanaitaka hiyo barua ya nini? Si wawasiliane na chuo
 
Duh! Mbona mm nilienda hapo TCU siku ya ijumaa kuwasilisha hio barua.. Ukienda kule ndani wamebandika tangazo ya vitu gani vinapaswa kuwemo kwenye barua ikiwa hukuripoti kabisa chuo... Lakini hio ya confirmation letter kutoka chuo haikuepo unless wameiongeza ndani ya wiki hii[/Q

eti mkuu ofisi za tcu zipo sehemu gan???
 
Zipo maeneo ya makumbusho...ukifika pale makumbusho stand.. Unachukua pikipiki kwa buku jero watakupeleka mpaka TCU
 
kwwl mwanzo halikuwa hivyo mimi nilimtuma dogo akaniandikia barua akapeleka bila kiambatanisho chochote na wakapokea sasa wamegeuka tena
 
Back
Top Bottom