Tcu yazindua programu itakoyokua inaonesha viwango halisi vya ada kwa kila chuo

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4,079
Reaction score
6,788
Hatua hiyo imekuja baada ya miaka ya hivi karibuni kuwa na malalamiko mbali mbali ya wadau wakiwamo wanafunzi wa vyuo vya private na hata vya serikali kuhusu uongezaji wa ada kiholera bila kufuata sheria na hali halisi ya mazingira,huduma na uendeshaji wa chuo husika source:ITV
 
Mbona chanzo cha kupandisha kodi,ada na tozo mbalimbali ni serikali hii hii ya kingese. Hebu ona hii: Motor vehicle licence from 20,000 to 300,000; kodi ya ardhi from 10,000 to 30,000; driving licence from 10,000 to 40,000 etc. Kwa nini na wao wasiige?
 
Back
Top Bottom