Tcu

Tcu

Ndio maana mimi niliandika kwa kiswahili,wewe unajibu kwa kizungu si ubishoo huu,ebo?
Politics is politics and accountability is accountability....in Bongo...there is no accountability without politics and politics depends entirely on political guys who positioned them in the post!!!

Mi niliomba pia kaka,kwan ktk gazeti wametoa ya chuo kmoja tu?

vipi nawe uliomba? Au una jamaa yko ali apply?

haya sasa, kesho matokeo, viroho juu. Damn it!

Kama ni DUCE ,MWALIMU NYERERE,USTAWI .ndo kesho. Hivi unaweza kvkata rufaa?

Hakuna rufaa hapo!wewe unamaanisha kesho kuna vyuo vngne tokeo haltatoka?
Kama ni DUCE ,MWALIMU NYERERE,USTAWI .ndo kesho. Hivi unaweza kvkata rufaa?

Ingekuwa mm ndie Executive Secretary wa TCU hadi kufikia saa sita mchana huu nimeshindwa kutoa selections kama nilivyoahidi kwa umma wa Tanzania........ NINGEJIVUA GAMBA!!!!!!

Ama kweli mbuzi wa maskini hazai na akizaa dume shoga!!! Kwani tarehe 4 si ndo leo? Haya sasa kinachowaumbua bado ile taarifa yao ipo,aibuu kweli kweli

Teh teh teh!asee hawaoni hata aibu!dooooh
Ingekuwa mm ndie Executive Secretary wa TCU hadi kufikia saa sita mchana huu nimeshindwa kutoa selections kama nilivyoahidi kwa umma wa Tanzania........ NINGEJIVUA GAMBA!!!!!!

Hahahaaaa me nacheka lakini memind!
Ama kweli mbuzi wa maskini hazai na akizaa dume shoga!!! Kwani tarehe 4 si ndo leo? Haya sasa kinachowaumbua bado ile taarifa yao ipo,aibuu kweli kweli

Ingekuwa mm ndie Executive Secretary wa TCU hadi kufikia saa sita mchana huu nimeshindwa kutoa selections kama nilivyoahidi kwa umma wa Tanzania........ NINGEJIVUA GAMBA!!!!!!

Looh una moyo wa kishujaa!!!Sasa tusubiri mpaka saa 5.59 usiku tuone.

Hahahaaaa me nacheka lakini memind!

kumind lazima vanpopeye inawezekana kila siku tudanganywe?kwani tcu kunani au computer zote mbovu?Si waseme ukweli km kazi imewashinda,inasikitisha sana.

Ila kweli,tar 4 haijaisha bhado!tuclaumu but mimi imani na tar 4 kwiisha hata kama watatoa maana walishatudanganya mwanzo!

Back
Top Bottom