Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Nimeambiwa TCU wametoa majina ya watu wanaopaswa kurudia kufanya/kurekebisha application zao. Ntayapata wapi hayo majina?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeambiwa TCU wametoa majina ya watu wanaopaswa kurudia kufanya/kurekebisha application zao. Ntayapata wapi hayo majina?
alie kuambia ndio akuambie yanapatikana wapi sio anakukupa taarifa nusunusu
Umeambiwa na nan,na umeambiwa lini?
Hatujatoa chochote.
Hatujatoa chochote.
kwani kama umeweza kutumia intenet uko jf umeshindwaje kuingia kwenye WESITE YA TCU ACHA UVIVU !!!!!!!!!lazima watoe kwenye website yao.