TCU

TCU

Msaada jinsi ya kuchek "eligibility"tcu maana naangalia zle yes or no sizioni,msaada wadau
 
mtu hata kujieleza hujui ndio unataka kuingia chuo sasa? hili janga la kielimu.
 
Tumevamiwa humu ndani jamani . Ehee.
 
Hawajakuwekea yes na no kwa sababu you are eligible. Unataka kusoma digrii ya matusi ya stendi ama ya bandarini?
 
Halafu mtoto wa kike wewe. Dah, Mungu atusaidie na malezi na makuzi
 
Back
Top Bottom