Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
nakumbukaHaya mkuu... kila la kheri kwenye ufukuzi wa makaburi...
Ila usisahau December inakaribia.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hilo nalo ni neno, ongezea "Hata mkwe wa nyumbani hanogi hata ............................"
Babu hii sekta bado hujastaafu tu?Kwanini hatupigii mitungi home?
1. Home hakuna mabaamedi....huwezi mwambia mkeo......we ma**ya ongeza bia hapa (talaka si kitu kizuri)
2. Home hakuna kaunta..... raha ya biya unywee kaunta, walevi hawaangushani kaunta
3. Home hakuna meneja, kuna raha sana kumshtakia mhudumu kwa meneja........unapata heshima bar
4. Home hakuna keep change.........heshima ya mnywaji ni kumwachia mhudumu keep change
5. Home hakuna kutwangana makwenzi
6. Home hakuna kucheza na kujiimbia kwa sauti biya inapokuwa imeshika kasi
7. home hakuna pool table
8. Home hakuna chemba ya kutongozea kina Eliza
9. Home hakuna vinywaji tofauti tofauti, bia zikijaza matumbo hwa tunahamia kwenye valuu, red labe, nyagi na shangazi zao
10. Nyumbani kuna watoto, bia imeandikwa: Hairuhusiwi kwa binadamu mwenye umri chini ya miaka 18.
11. Home hakuna vyoo vya wanawake.........tunashea vyoo, inaweza sababisha ajali na watoto wetu...
Listi itaendelea, ngoja nikazimue...damn Guinness!!!:majani7::majani7::majani7:
5.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaha mkuu naona umefukua kaburi la makinikia. Enzi hizo nlikuwa nimevurugwa na valeur. Faru John lilikuwa halijazaliwa
Congratulation wote!Ni kweli kabisa
Single maza mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]Hilo nalo ni neno, ongezea "Hata mkwe wa nyumbani hanogi hata ............................"
Hivi unajua lakini huyo ni mama ako mdogo! AtakulaaniSingle maza mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]
Hawezi kunilaani kwa kuwa nitamuomba msamaha mama yangu huyo na yataisha!!Hivi unajua lakini huyo ni mama ako mdogo! Atakulaani
Am in love with you my darling wife.Ni kweli kabisa
You can say that again my sweetpie...Nitakuwekea counter home hubby pia nitaweka collection ya Jack Daniels na Cavosier
Kama una swali jingine uliza haraka. Tunaenda Bagamoyo kupumzika... hatutakuwa hewaniCongratulation wote!
Swali lingine wiki ijayo BabuKama una swali jingine uliza haraka. Tunaenda Bagamoyo kupumzika... hatutakuwa hewani