Te Amo, Asprin, Fidel 80 na Klorokwin

Te Amo, Asprin, Fidel 80 na Klorokwin

Kwanini hatupigii mitungi home?

1. Home hakuna mabaamedi....huwezi mwambia mkeo......we ma**ya ongeza bia hapa (talaka si kitu kizuri)
2. Home hakuna kaunta..... raha ya biya unywee kaunta, walevi hawaangushani kaunta
3. Home hakuna meneja, kuna raha sana kumshtakia mhudumu kwa meneja........unapata heshima bar
4. Home hakuna keep change.........heshima ya mnywaji ni kumwachia mhudumu keep change
5. Home hakuna kutwangana makwenzi
6. Home hakuna kucheza na kujiimbia kwa sauti biya inapokuwa imeshika kasi
7. home hakuna pool table
8. Home hakuna chemba ya kutongozea kina Eliza
9. Home hakuna vinywaji tofauti tofauti, bia zikijaza matumbo hwa tunahamia kwenye valuu, red labe, nyagi na shangazi zao
10. Nyumbani kuna watoto, bia imeandikwa: Hairuhusiwi kwa binadamu mwenye umri chini ya miaka 18.
11. Home hakuna vyoo vya wanawake.........tunashea vyoo, inaweza sababisha ajali na watoto wetu...
Listi itaendelea, ngoja nikazimue...damn Guinness!!!:majani7::majani7::majani7:
5.
Babu hii sekta bado hujastaafu tu?
 
Hahaha mkuu naona umefukua kaburi la makinikia. Enzi hizo nlikuwa nimevurugwa na valeur. Faru John lilikuwa halijazaliwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mimi wala sehemu yoyote zigo linashushwa nshamwambia mama Jay anywe na yeye mi raha utemi mzuri wakati mwingine
 
Back
Top Bottom