te te te mambo yenyewe ndo haya....?

Hiyo inaitwa nikanyage bahati mbaya nikuumize makusudi.
Wanawake wana roho mbaya sana,
hivyo vidubwashika vyao wanaviona kama pilau.
Ndio maana kuna madingi yanabandua ma hausi gelo hivi hivi.
 
haaa haaa.......! Angeweza kumfunga mdomo ndio ingekuwa kamaliza.......hapo bado tarumbeta litaendelea tu!
 
1.bibie inaelekea ndie kaweka uzio si unamuona? katazama pembeni kabisa.
2.wanapendana sana hawa,kama sio mbona hawajazima taa?
3.Hiyo sio suluhisho ili mradi shuka moja,na chini ya shuka hakuna seng'enge USIKU WA MANANE LAZIMA WANYATIANE TU.
CHA MSINGI HAPA NI KUWA USIWANONE WATU WANACHEKA WANATEMBEA NA KULALA PAMOJA.....NDOA ZINA MATATIZO MAKUBWA SANA
 
Hiyo inaitwa nikanyage bahati mbaya nikuumize makusudi.
Wanawake wana roho mbaya sana,
hivyo vidubwashika vyao wanaviona kama pilau.
Ndio maana kuna madingi yanabandua ma hausi gelo hivi hivi.
1.Nadhani si wote ni baadhi tu mkuu
2. Sasa? ukichukua house girl ndio itakuwa suluhisho mkuu?
3. NADHANI HAPO MAZUNGUMZO KATI YAO YATALETA UFUMBUZI
 
Hiyo inaitwa nikanyage bahati mbaya nikuumize makusudi.
Wanawake wana roho mbaya sana,
hivyo vidubwashika vyao wanaviona kama pilau.
Ndio maana kuna madingi yanabandua ma hausi gelo hivi hivi.

hahahah umenichekesha sana Sumbalwawinyo...labda na nyie wakorofi ..
 
Umeliona lile tangazo? Eti hata kusuluhisha matatizo ya ndoa tangazo linabidi lilipiwe na Uncle Sam,how low he have sunk.

linaboa sana hata kurekebisha ndoa zetu ni hisani ya watu wa Marekani kweli tumeishiwa
 
Ndoa ndoano, hapo lazima pande moja itegekee !! hata aliyetega mtego weza mnasa mwenyewe !!

Duu Kazi ipoo !!
 
Wavunje ukimya, mashetani yakiwapanda hizo senyenge zitakuwa kama uzi wa kushonea nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…