Teacher on Duty (TOD)

Teacher on Duty (TOD)

Mtumishi Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
259
Reaction score
92
Jaman leo nimejikuta nalikumbuka hili jina la kiingereza ambalo linatumiwa sana kwenye shule za msingi likimaanisha Mwalimu wa Zamu. Lilikuwa very common miaka hiyo sijui kwa sasa kama bado linatumika sana. NAkumbuka wkt huo wiki ikianza tu wanafunzi wanataka kujua TOD ni nan ili kupima mikikimikiki ya wiki hiyo kama itakuwa poa au la! Sijui wenzangu kama nanyi milikuwa na hiyo experience!!!!!!
 
Back
Top Bottom