teachers

Joline Jacky

Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Je wajua ni kwa nini walimu wa zamani hawakugoma ingawa mishahara yao ilikuwa ni midogo?
1:Tuliwapelekea kuni,
2:Tuliwachotea maji,
3:Tuliwalimia mashamba,
4:Tuliwafanyia kazi za nyumbani wote walikaa quarters,
5:Rambirambi walikusanya wao,
6:Tofali tuliwafyatulia hata za kuuza,
7:Tulifanya vibarua kukuza mradi wa shule ambao hatukujua matumizi,
8:Tuliwapelekea hata vitu kama kuku, mayai na maziwa Wazazi walitupa tukawapelekea.Mwalimu alitisha kuliko hata Polisi.
 
Walimu hao walikuwa kama Wokoloni, ndio maana wengi wao walikufa masikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…