SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
acha wivu mkuu na sisi ndio wakati wetu,unahisije kama wewe ndio unakubalika kwa aina ya maisha unayoishi,au na wewe imetokea kaskazini?maana hii nchi mnataka mbakie wenyewe...
Cheap a$$ cars..
Sijui kwanini wanavipenda hivi vigari kwenye racing..
maelezo yako,who r u hadi useme unapigiwa kelele?hamia msituni kama vipi..
Uamuzi mzurNahisi ni usiku sana ndo maana sielewi hii habari nitarudia kusoma asbh halafu nitachangia chochote.
Ushamba tu unawasumbua vigari vyenyewe vya mkopo wa equity bank
Mtenda akitendewa huwa nongwa, wewe umefanya huko Cali wenzio nao wanatesa ndani ya Bongo.I used to be underground street racer back in the 1990s in the streets of east Los Angeles.
Mtenda akitendewa huwa nongwa, wewe umefanya huko Cali wenzio nao wanatesa ndani ya Bongo.
Kwahiyo unabidi uwe mtu fulani ndo ufike vigezo vya kulalamika kua unapigiwa kelele? Jamaa katoa kero zake na anahaki hiyo. Yani wewe ndo ilibidi uulizwe who are you,kupinga kero ya mwenzako? Halafu unatoa suggestion za kitoto eti kaishi porini,seriously?maelezo yako,who r u hadi useme unapigiwa kelele?hamia msituni kama vipi..
Inawezekana hawatumii mitaa unayoishi wewe.Nahisi ni usiku sana ndo maana sielewi hii habari nitarudia kusoma asbh halafu nitachangia chochote.
Kuna wale wa Subaru niliwaanzishia thread humu ikafikia wahusika wakanyooshwa. Kwa miezi kadhaa walitulia sasa hivi kwa mbali wanasikika. Usiwe na shaka watanyooshwa.Tumechoka na kelele za gari zenu. Mmefunga mufflers kubwa basi shida tupu hapa mtaani.
Kwanza tradtionally Alteeza siyo perfect car for street racing. Vialteeza vyenyewe vimechoka na vinaacha unga wa quickfill barabarani.
I used to be underground street racer back in the 1990s in the streets of east Los Angeles. Back then gari Za street racing zilikuwa Mustang, Acura integra, Eclipse, Talon, Charger, Celica. Camaro etc
Mnatupigia kelele zisizo na msingi na mmekuwa kero kubwa hasa on weekends.
Kama mnataka racing nendeni njia ya Msata.
Kamanda Sirro uko wapi?