New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
kimbiza na noah yako kama utakamataCheap a$$ cars..
Sijui kwanini wanavipenda hivi vigari kwenye racing..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kimbiza na noah yako kama utakamataCheap a$$ cars..
Sijui kwanini wanavipenda hivi vigari kwenye racing..
kufunga BOV sio mpaka ubust turbo ikiwa na by-pass unaweza funga na ikacheuaThat is the point..... you can gain more with 2jz.... huwa nashangaa mtu anaposema eti altezza sio street racing car, huyo mtu hazijui engine. hebu nitajie street racer gani hajabust engine? Ivi ulifikiri izo BOV mnazosema unafikiri ni natural aspirated engine? hizo sounds zenu is all about boosting, bila boosting hizo tsu tsu tsu huziskii......
hatuzungumzi ya supra ndo mana engine code hazifanani ya supra gte hiyo T that mean turbo charged2jzgte ya supra ina >300hp
tezza gita ina 2jzge ambayo ndo hiyo 217hp
mind you that the supra's 2jzgte is a twin-turbo
Mkuu 2jzge ukiibost lazima itakuwa 2jzgte labda uweke supercharger, kwaio ndo mule mule, 2jge ma 3sge can take the stress of the boost. Hio 2jzgte ni turbo version ya ge tena sio kama inappwer ya ajaaaabu ikiwa stock (yaani ikiwa imetoka kiwandani ivo ivo) hio video sio gte stock, hio ni tuned gtehatuzungumzi ya supra ndo mana engine code hazifanani ya supra gte hiyo T that mean turbo charged
And the advantage of it? Zipo za electronic is bov kama unataka kusiki pshhhhh utaisikia, lakini no advantage if its non turbo. Tukiongea perfomance wise, its just an accessory tu, kama vile ukiona mtu kafunga custom muffler kisha catalytic convertor hajazichana, unatoa sound tu with not even 1horsepower gain nor gain infuel economykufunga BOV sio mpaka ubust turbo ikiwa na by-pass unaweza funga na ikacheua
ndio mkuu, hehe supercharger code ya toyota ni "z" so maybe ukiweka supercharger itakuwa "2jz-gze"Mkuu 2jzge ukiibost lazima itakuwa 2jzgte labda uweke supercharger, kwaio ndo mule mule, 2jge ma 3sge can take the stress of the boost. Hio 2jzgte ni turbo version ya ge tena sio kama inappwer ya ajaaaabu ikiwa stock (yaani ikiwa imetoka kiwandani ivo ivo) hio video sio gte stock, hio ni tuned gte
Haswaaa, kwa sababu engine ndio ile ile, kila kitu ndio kile kile, lakini wameongoza turbo tu, ukiitoa turbo kwenye 2jgte itageuka na kuwa 2jge na itafanya kazi pia kama 2jge ilokuwa haina turbo, kikubwa ucheze na ECU kuiambia tu kama turbo imetolewa sasa uendeshaji uko vengine. Na 3sge mwenzake ni 3sgte, ukiifunga supercharger inakuwa 3sgze kama ulivosema mdau.ndio mkuu, hehe supercharger code ya toyota ni "z" so maybe ukiweka supercharger itakuwa "2jz-gze"
au 3sge?2jz engine mnaijua au mnaisikia tu?
ipi babe hapa mkuuUlikuwa hujui kama Altezza inayo 2jz?
Altezza Rs200- 3sge Beams
Altezza As200/lexus is200- 1gfe
Altezza As300/lexus is300- 2jzge
Asubui tunavikutaga mtaroni au vimechinja njia panda ya leaders wanazanigi usiku wapo wenyewe tuJamani Sio alteza ipo Subaru Impreza usiku huwa kuna racing from posta to msata back to posta
Pasaka nakuja kupambana na hao wababe hapo Dar, ntakuja na Subaru
Acura Intergra
Camaro
Dodge Charger
Mustang
Mitsubishi Eclipse
Corvette
mbabe wao ni is300 yenye 2jzge, sema unywaji wake wa mafuta sasa ndio ishu!ipi babe hapa mkuu