Team ALTEEZA

Kuna wale wa Subaru niliwaanzishia thread humu ikafikia wahusika wakanyooshwa. Kwa miezi kadhaa walitulia sasa hivi kwa mbali wanasikika. Usiwe na shaka watanyooshwa.

Hopefully kamanda Sirro anapita humu
 
Nafikiri hujui mambo izi... ALtezza sio street racing car? lol! integra na celica are hahahah ebana apo basi mkuu
 
hamna toyota naichukia kama altezza ...gari mbaya sana afu wenye hivi vigari na mwenyewe wanaendesha wanaona wako na sport car kuna kipindi natoka misele nakuta boya mmoja yuko na teza kafunga njia afu anapiga ma race kibao ...kwanza hailii vizuri hata uweke mafla kubwa kiasi gani ( et wanataka iga subaru boxer engine )

forester ikiwa na BOV muffler kubwa ikipigwa race vijana wote vijiwen ni mlunzi tu

mnataka gari ya race ongezeen chukueni subaru ila tezza sio sport car kwa kweli
 

2jz engine mnaijua au mnaisikia tu?
 
ulichopenda kwa 2jz ni cc zake ee?? 3L afu 217hp ndo nini sa??
 
hio video ni 2jz imebustiwa mpaka basi....
That is the point..... you can gain more with 2jz.... huwa nashangaa mtu anaposema eti altezza sio street racing car, huyo mtu hazijui engine. hebu nitajie street racer gani hajabust engine? Ivi ulifikiri izo BOV mnazosema unafikiri ni natural aspirated engine? hizo sounds zenu is all about boosting, bila boosting hizo tsu tsu tsu huziskii......
 
nazipenda Tezza ila fuel tank zake zimetoboka.
 
ulichopenda kwa 2jz ni cc zake ee?? 3L afu 217hp ndo nini sa??
2jzgte ya supra ina >300hp
tezza gita ina 2jzge ambayo ndo hiyo 217hp

mind you that the supra's 2jzgte is a twin-turbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…