Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
We mluga luga hata hiyo team teza unaijua kwanza?Ulitaka tu kutuambia una gari....alteza inasingiziwa
Pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa maana ya huo msemo?
Nyie ndo wachawi wenyewe.Acha ife tu... Fujo tu ambazo hazina maana mjin
Naelewa sana...pambana na gari yako wachana na team tezza utapata preshaUnaelewa maana ya huo msemo?
unaijua kwanza ?Naelewa sana...pambana na gari yako wachana na team tezza utapata presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Team teza?
wapi huko bob?
Kwa muda km huu, huwezi kuleta mada km hizo hapa...Nakumbuka kipindi hicho bado nipo seko
Hii team Alteza ilikuwa inatamba sana batani kila sehemu za bata wapo na ukitaka kujiunga nayo lazima na wewe uwe na Alteza
Nakumbuka kipindi hicho nilimsumbua sana mzee aninunulie alteza lakini akawa ananikatalia alikuwa anasema muda bado kwanza ,nisome kwanza.
Basi nikavumilia mpaka nikamaliza form six
Sasa ubaya umekuja sasa hivi gari ninayo ingawaje sio Alteza lakini hii team Alteza imekufa tangu huyu magufuli awe rais
Nimeimiss sana team Alteza natamani leo kesho irudi tena kwenye chati ili ninunue alteza nijiunge nayo.
Ngoja nije PM hapa wanga washaanza kuchafua hali ya hewa.
we mzee unafaidika na nini? Au shobo zinakusumbuaMtoa mada bado mtoto..pambana na hali yako mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nije PM hapa wanga washaanza kuchafua hali ya hewa.
kuna mgawanyo wa majukwaa.Kwa muda km huu, huwezi kuleta mada km hizo hapa...
Leta mada za manufaa kwa watu wote...
We km umenunuliwa gari tulia tafuta maisha....
Acha kutamba bhana....
Leta mada ambazo kila mtu anaweza changia kwa moyo mmoja
iPhone 6s