Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Nakumbuka kipindi hicho bado nipo seko
Hii team Alteza ilikuwa inatamba sana batani kila sehemu za bata wapo na ukitaka kujiunga nayo lazima na wewe uwe na Alteza
Nakumbuka kipindi hicho nilimsumbua sana mzee aninunulie alteza lakini akawa ananikatalia alikuwa anasema muda bado kwanza ,nisome kwanza.
Basi nikavumilia mpaka nikamaliza form six
Sasa ubaya umekuja sasa hivi gari ninayo ingawaje sio Alteza lakini hii team Alteza imekufa tangu huyu magufuli awe rais
Nimeimiss sana team Alteza natamani leo kesho irudi tena kwenye chati ili ninunue alteza nijiunge nayo.