Team Alteza imekufa tangu JPM aingie madarakani.

Nakumbuka kipindi hicho bado nipo seko

Hii team Alteza ilikuwa inatamba sana batani kila sehemu za bata wapo na ukitaka kujiunga nayo lazima na wewe uwe na Alteza

Nakumbuka kipindi hicho nilimsumbua sana mzee aninunulie alteza lakini akawa ananikatalia alikuwa anasema muda bado kwanza ,nisome kwanza.

Basi nikavumilia mpaka nikamaliza form six

Sasa ubaya umekuja sasa hivi gari ninayo ingawaje sio Alteza lakini hii team Alteza imekufa tangu huyu magufuli awe rais

Nimeimiss sana team Alteza natamani leo kesho irudi tena kwenye chati ili ninunue alteza nijiunge nayo.
acha unafiki
 
Huyu atakuwa mtoto au limbukeni..
Watu tushafany fujo na Altezza miaka minne iliyopita na hatukutoka kuongea upuuzi km huu
Pambana na hali yako kakojoe ulale

iPhone 6s
 
shida iko wapi ?

mbona chupi inakubana sana

usi beep kujamba utaharisha .
 
[emoji23][emoji23]
77e08a0814294dce60447ab39fd30a40.jpg
 
Back
Top Bottom