Team anaconda imewadatisha wengi

Team anaconda imewadatisha wengi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ni judith wambura mbibo au LADY JAYDEE,huyu mwanadada ana a.k.a zaidi ya tatu alianza na BINTI.MACHOZI,akalia weeee hatimaye akawa COMMANDO,kwenye ucomando akafaulu hadi kufikia kuitwa ANACONDA kweli alikuwa ni balaa,kama haitoshi akaunda team,TEAM ANACONDA,team inayotikisa jiji la dar es salaam kama sio tanzania,kama unabisha muulize ruge na kusaga walivyoweweseka na hii team.sasa kila mtu apa town kaunda TEAM.elizabeth michael au lulu na yeye kaunda team yake inayokwenda kwa jina la HOT LULU MICHAEL TEAM,mshiriki wa big brother the chase naye kaunda team yake inayokwenda kwa jina la FEZA TEAM,nando naye NANDO TEAM,nikasema duuuh hayo yote sababu yaaaaa?????
 
Mkuu, samahani bado sijaona la muhimu ktk hii thread. Kwa maana hizi team zipo siku nyingi mfano Walume ndago, Choka mbaya, Al Qaida, Makono nk.
 
Low thinking capacity,soma vizuri uelewe acha kukurupuka kuchangia kama haujaelewa...
 
tean ambayo ni talk of the town sasa ni anaconda team bhaaaaaash big up to Jide for the movement
 
Huyu dada akiongeza ubunifu hapo mjini atawapoteza mbaya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
go go go go sista jide we will back up you til our last breath here in the universe.
 
Mkuu mada ni nini?kwani suala la TEAM limeanza kwa jide?

Hakuna jipya hapa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Usiwe mvivu wa kufikiri,TEAM ANACONDA inamaanisha mashabiki wa anaconda ambaye ni jide,nilidhani wa kutoka shamba tu ndo washamba,kumbe hata mjini???
 
Usiwe mvivu wa kufikiri,TEAM ANACONDA inamaanisha mashabiki wa anaconda ambaye ni jide,nilidhani wa kutoka shamba tu ndo washamba,kumbe hata mjini???

we na me or ke??????
ni swali tu.......,
 
ukijua jinsia halafu??,ivi wewe ndo kazi uliyoajiriwa humu jamii forum kujua jinsia za watu??,kamuulize baba ako akikujibu ndo uje uniulize na mimi,samahani lakini HEAVEN ON EARTH...
 
ukijua jinsia halafu??,ivi wewe ndo kazi uliyoajiriwa humu jamii forum kujua jinsia za watu??,kamuulize baba ako akikujibu ndo uje uniulize na mimi,samahani lakini HEAVEN ON EARTH...

we kweli punga....,
itabidi nianze kwa kukufundisha namna ya kuquote mtu
na kumention maana ur such a narrow minded person
 
Kumbe message unaipata vizur,si ndio???,basi sawa ila fanya kama nilivyokwambia,kamuulize baba yako ana jinsia gani,afu ndo uje kuniuliza na mimi,khaa kumbe message imekufikia bwana
 
Kumbe message unaipata vizur,si ndio???,basi sawa ila fanya kama nilivyokwambia,kamuulize baba yako ana jinsia gani,afu ndo uje kuniuliza na mimi,khaa kumbe message imekufikia bwana

ona unavyotoka mapovu......,
ngoja nichukue blackboard,chalk na stick ndefu kabisa....
maana inaonekana una kichwa kigum sana bila stick hatuendi
 
sajaona kipya hapa? Kawadatisha ki vip? Mbona umetema pumba 2pu na sisi sio kuku? Kua makini basi.
 
Back
Top Bottom