MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kwa upande mmoja nimependa Idea ya kuwa na group la wapenda magari aina ya Toyota Crown hadi kuweza kufanya charity events.
Ila ninasikitishwa na promo ya bure mnayotoa kwa kampuni ya Toyota kizembe.
Hata vyombo vya habari vinavyowaalika kuzungumzia kundi lenu navyo pia vinajidhulumu haki zao za pesa za matangazo.
Tunalia mambo ya wasanii kunyonywa kazi zao ila kuna mambo mengi tunafanya bila kujua tunatumika kumtajirisha mtu.
Tafadhali Team CrownTZ fanyeni namna nanyi mlipwe kwa marketing ya bure mnayofanya.