MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #21
Kwa akili kama hii yako tutaendelea kuwa na wachuuzi wa bidhaa za China tu. Yaani watu hadi wanapata vipindi kwenye radio stations kubwa za nchi hii kuongelea Toyota Crown wewe unaona sawa tu? Hata hizo radio stations ni za kipumbavu sana kutoa matangazo bure ya biashara.Wewe utakuwa na matatizo ya akili.Watu wameamua kukisifia kitu wanachokipenda na kukimiliki unawezaje kusema wanachofanya ni upumbavu?