MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Naona umeamua kwa dhati kabisa kuendelea kuwa mpumbavu. HongeraBasi tusaidie tulipwe wewe ukiona rahisi
Wewe unavyojiita samia kuna anaekulipa?Naona umeamua kwa dhati kabisa kuendelea kuwa mpumbavu. Hongera
Kweli kabisa, watu wenyewe tunanunua mitumba ambayo kiwanda wala hakifaidiki kwa lolote. Hizo gari haziko hata kwenye mahesabu ya kiwanda. Nchi ambayo asilimia 99 ya wanunuzi wa magari (ukiacha serikali na mashirika) tunanunua mitumba tu.Toyota haitengemei promo crown fm kuuza magari yako eeh!
Wanayoyauza wananunua kiwandani mpya, chain inaenda namna hiyoKweli kabisa, watu wenyewe tunanunua mitumba ambayo kiwanda wala hakifaidiki kwa lolote. Hizo gari haziko hata kwenye mahesabu ya kiwanda. Nchi ambayo asilimia 99 ya wanunuzi wa magari (ukiacha serikali na mashirika) tunanunua mitumba tu.
Hayawezi tena kuwekwa kwenye revenue ya kiwanda. Wewe gari za miaka ya 2000 huko kiwanda kinahusika na nini? Maana yake hizo tunawasaidia tu kupunguza takataka.Wanayoyauza wananunua kiwandani mpya, chain inaenda namna hiyo
Hayo sio mapenzi bali ni upumbavuMtu anakulipa iwapo kama amekupa kazi,huwezi kujipa kazi halafu utake kulipwa.
Hao wanaoitangaza crown wanafanya kwa mapenzi yao.
Toyota owes 'em nothing.
Ni sawa, nachosema ni kwamba it creates a room for more sells, tunachukua used japan, mjapan nae anachukua brand new dukani. Hichi na nachokionaHayawezi tena kuwekwa kwenye revenue ya kiwanda. Wewe gari za miaka ya 2000 huko kiwanda kinahusika na nini? Maana yake hizo tunawasaidia tu kupunguza takataka.
Wewe utakuwa na matatizo ya akili.Watu wameamua kukisifia kitu wanachokipenda na kukimiliki unawezaje kusema wanachofanya ni upumbavu?Hayo sio mapenzi bali ni upumbavu
🙅♂️Wewe utakuwa na matatizo ya akili.Watu wameamua kukisifia kitu wanachokipenda na kukimiliki unawezaje kusema wanachofanya ni upumbavu?
Huwa kila siku nawaambia watu kuwa wewe ni waziri wa upinde huko kaskaziniToyota haitengemei promo crown fm kuuza magari yako eeh!