Team Diamond vs Team Harmonize

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Hizi timu zitakuwa Kali Sana. Ni pale Harmonize atakapoamua kuitupa WCB na kuamua kujitegemea kimuziki, itakuwa patashika nguo kuchanika ukisingatia kuwa wore ni wakali wa Bongofleva na Mara kadhaa baadhi ya mashabiki wamekuwa wakidiriki kusema kuwa Harmonize anamfunika Diamond kwa kuimba mashairi yenye mvuto na ya kukonga nyoyo za watu.

Mimi siyo mwamzi lakini wacha tusubri muda utasema pale tu wawili Hawa watakapotengana na Kila mmoja kuamua kupiga muziki kivyake
 
Ndio maana hata kuandika jina lako mwenyewe hujui.
 
Wanaanzaga hivi hivi mara utasikia kuna mwenyekiti na katibu wa timu tayari. Mkitahamaki tayari kuna beef baina ya wawili hao. Mbaya zaidi waanzishaji hizi team huwa wala hawawajui wahusika kibinafsi lakini hushupalia ugomvi mpaka hata kudiriki kupigana sababu ya mtu ambae hata hawamjui.
Ila hii yote huwa ni athari ya kukosa kazi ya kufanya na kuwa na uhakika wa kula na kulala aidha kwa wazazi ama sebuleni kwa shemeji.

Mfano wa Wenyeviti na Makatibu wa ma team.
 
we mtarban tunakujua unawivu na chuki dhd ya WCB sasa unataka watengane wawe na bifu ndo ufurah ety, acha kuota ndoto za muhogo mtamu hapo, nyiny ndio mna taka bifu la kiba na mond liendelee maana linamnufaisha sana mme wenu
 
Hili kama ghetto la nandy na billnas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman ee show ya mombasa sijui nairobi mbona sioni uzi wa lile nyomiii??????
 
Watoto wamenona tayar kwa kuliwa
 
Harmonize ni mkali anaimba vitu vyamana sio mauchafuuchafu kama ya mondi Na rayvan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…