Hizi timu zitakuwa Kali Sana. Ni pale Harmonize atakapoamua kuitupa WCB na kuamua kujitegemea kimuziki, itakuwa patashika nguo kuchanika ukisingatia kuwa wore ni wakali wa Bongofleva na Mara kadhaa baadhi ya mashabiki wamekuwa wakidiriki kusema kuwa Harmonize anamfunika Diamond kwa kuimba mashairi yenye mvuto na ya kukonga nyoyo za watu.
Mimi siyo mwamzi lakini wacha tusubri muda utasema pale tu wawili Hawa watakapotengana na Kila mmoja kuamua kupiga muziki kivyake
Mimi siyo mwamzi lakini wacha tusubri muda utasema pale tu wawili Hawa watakapotengana na Kila mmoja kuamua kupiga muziki kivyake