Team Domo ( Matusi boy) hawaamini walichokiona Tigo Fiesta Dar.

Team Domo ( Matusi boy) hawaamini walichokiona Tigo Fiesta Dar.

Tulitegemea tamasha Changa la wasafi festival litaanza kukidhi hadhi ya kufananishwa na tamasha kongwe la fiesta baada ya miaka kumi ijayo, ila cha ajabu ni mwaka wa kwanza tu tamasha changa kabisa linawasumbua sana tamasha la fiesta kiasi hiki, hapa bila shaka tamasha la wasafi limebeba kombe.

Diamond miaka 28 tu mtoto mdogo muoneeni huruma jamani🙂 kaka zake walidhani kuwa sauti na ukubwa wa miaka 35 ndo dawa ya Dogo wa miaka 28, kilichowatokea walivyoingia kwenye anga za huyu mtoto hawatakuja kukisahau, mpaka Leo kabla hawajafanya lolote huko insta wanaumizaga sana vichwa ni jinsi gani posti zao zitamshambulia Huyu Dogo anaewapuuza na hatoi kiki kwa kaka zake wanaozifosi🙂🙂.
Punguza munkari mdogo wangu. Vyote vya Kusaga.
 
Back
Top Bottom