Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kizimbabwe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mondi Zimbabwe amelipwa dollar laki mbili
Ww ndo umeifunga mada kabisaMziki pesa vingine mbwembwe tyuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Aache ujinga aiseee.. Too much sasaKilicho nisikitisha zaidi ni nilipo pata taarifa kuwa pamoja na Diamond kuwanunua wazimbabwe waingie kwenye show yake haikutosha akawanunua tena wamshangilie.....
Sasa Diamond kaenda mbali zaidi ni majuzi tuu kamnunua producer wa Alikiba bwana Abdady.
Diamond tafadhali punguza kununua maana sasa umebakiza kumnunua Seven Mosha