Kilicho nisikitisha zaidi ni nilipo pata taarifa kuwa pamoja na Diamond kuwanunua wazimbabwe waingie kwenye show yake haikutosha akawanunua tena wamshangilie.....
Sasa Diamond kaenda mbali zaidi ni majuzi tuu kamnunua producer wa Alikiba bwana Abdady.
Diamond tafadhali punguza kununua maana sasa umebakiza kumnunua Seven Mosha