Team Kanembwa tukutane hapa

choconorma

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
210
Reaction score
51
Tuliopangwa Kanembwa na yeyote mwenye uelewa wa JKT Kanembwa Kigoma atusaidie mazingira na hali kwa ujumla ya kambi ya Kanembwa
 
Una bahati Daka nyama kafariki Pumzika Afande
 
kwnn ninywe maj ya kutosha au kule maji ya shida
 
824KJ Kanembwa.

>usibebe vitu au nguo za thamani unaweza kuibiwa. usibebe nguo nyeupe hasa vest au under wear,zitafubaa maji sio safi.
>beba viatu/laba ngumu na soksi ndefu kabisa,usiku baridi.
>beba viwembe vingi hata 20 vya kunyolea nywele.
>beba dawa za maumivu au za kuchua kwa tahadhari tu.
>kuna vumbi sana,mafua na vikohozi ni kawaida sana so waweza beba asali kwa ajili ya koo,dawa nyingine kuna zahanati pale.
>usije jaribu kutoroka,ukiwa na shida ongea na maafande wako,pale kutoroka ni rahisi sana ila omba usikamatwe.
>ukiweza beba kijiko cha kulia msosi,watakushangaa ila ni kwa afya yako,ukinawa mikono haitakati na lile vumbi.
>mapera,mananasi,mapalachichi,machungwa,malimao yapo ila porini so ukiwa free mchana zama pori utavipata.
mengine utajua hukohuko. . kanembwa-nduta.
USISAHAU KUNYOA KIPARA MAPEMA
 
Nimekusoma sana mkuu,maana maneno kibao yamezungumzwa abt kanembwa ila hapo nimekuelewa
 
usijali mkuu kanembwa pako poa sana. . matatizo ni ya kawaida ambayo nayo ni kama sehemu ya mafunzo tu... tena ukiweza kwa usalama zaidi beba tranka moja tu dogo litakusaidia japo si lazima.
 
Tranka nishauza hlf kununua tranka kixa jkt mtihan,cha mcng nabeba v2 vichache
 
mhhh!! kumbe hata wanafunzi wa Secondary nao mpo humu?
 
tuliopangwa kanembwa na yeyote mwenye uelewa wa Jkt kanembwa kigoma atusaidie mazingira na hali kwa ujumla ya kambi ya kanembwa


Poleni.....kule ni uchawi dotcom, panatisha mkuu. Pako nyang'anyang'a
 
Ni kubaya hatar af kuna mbu balaa na mkienda hapo kuwen majasiri kama unaumwa uclazmishwe kufanya kazi...
 
Dawa zako ficha ucweke kwenye tranka mana wanakagua
 
Na kama unaweza we jidai umekosea nenda oljoro kanembwa ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…