Team Kanembwa tukutane hapa

Team Kanembwa tukutane hapa

Lt.Sk Mwakyobe yupo mtabila siku hizi!? One of the great man... Wakati naenda Tpdf huyu jamaa ndo aliokoa maisha yangu.. Mungu amsaidie daima, kama una mawasiliano yake nipatie Tafadhali..

Another thing... Kwann madogo mnakua waoga!? Njooni huku ni kulijenga Taifa tu, haya mnayoambiwa mwisho main gate.. Ndani ya kambi mambo mapyaa.
Kuna mwenye namba ya Lt Mwakyobwe alikuwa Mtabila sidhani kama bado yupo? alinisaidia sana. Au mawasiliano ya mtu yeyote aliyepo Matabila.
 
Back
Top Bottom