Friji la mtumba
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 277
- 434
HUku mitaani mnaoa😃NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UJAMBAZI
NDOA NI LAANA
KATAA NDOA
Nmeoa mwaka wa tatu huuMtoa mada bado yupo honeymoon.
Una shida mahalaNDOA NI UTAPELI
NDOA NI UJAMBAZI
NDOA NI LAANA
KATAA NDOA
jitambue mkuuYou're a happy slave. Sio kosa pia.
Mkuu. Mimi ni kijana ambaye bado najitafuta, naomba kuwa mwanachama wa chama chenu. Nipe japo kimuongozo au katiba ua kanuni kama zipo.NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UJAMBAZI
NDOA NI LAANA
KATAA NDOA
Best wishes mkuu.Nmeoa mwaka wa tatu huu
Taasisi kandamizi!!?? Aisee kazi ipoNdugu Friji la mtumba kitu usichokijua kuhusu KATAA NDOA ni kuwa sisi hatutaki hiyo taasisi kandamizi inayoitwa ndoa ila mambo mengine yote tupo sambamba na nyie.
Kuzaa tutazaa, kulea tutalea na mahusiano tutakuwa nayo ila ndoa ndio kitu hatukitaki kisikia.
Ubinafsi, uvivu na uoga ni tabia binafsi za mtu awe suria au mwanandoa bado anaweza kuwa hivyo. Sasa usihusishe msimamo wetu na tabia binafsi za mtu.
Aisee tuna kazi kubwa ya kufanyaJibu hoja zao mkuu.
1)mmomonyoko wa maadili kwa kiasi kikubwa kwa wanawake wengi.
2)kuchapiwa kunakotokana na maadili duni.
3)mgawanyo usio sawia wa mali wakati wa talaka.
Saidia Fundi kibao huko nje.Kuoa si Mateso – Ni Ujenzi:
Tafuta mwanamke uoe acha janjajanjaSaidia Fundi kibao huko nje.
Utapasuka.
Embu fikiria mwanaume akioa tu tayari mwanamke ana nafasi ya kuondoka na 30% ya mali zake.Taasisi kandamizi!!?? Aisee kazi ipo
Kama unakuja kuja kwa mbaaaali🤔Embu fikiria mwanaume akioa tu tayari mwanamke ana nafasi ya kuondoka na 30% ya mali zake.
Embu waza, mke anaweza kuchukua mkopo kwa jina la mumewe hata bila kumwambia wala kupewa ruksa yake. Na mwanaume (mume) lazima alipe.
Wanaume wengi waliooa wanakiri kuuva mkenge, ni vile hawaoni nuru kwenye kutalakiana maana watapoteza mali na nguvu zao kwa migawano isiyowazingatia hata kidogo.
Kifupi sana, sheria ya ndoa ni sheria ya kumlinda mwanamke ndani ya ndoa. Na hicho kitu ndio kitu hatukitaki.