TEAM KIBA TUJE APA

Joined
Sep 5, 2016
Posts
39
Reaction score
34
Yooah..

Habari zenu wana jamvi!!!

Ivi tatizo la ALI KIBA ni nin hasa??
Uyu mtu mie ni shabiki wake sana ila ana niangusha kinoma noma.. Uku mtaani sie team kiba tunaumbuka. Tangu WASAFI FESTIVAL ianze atuna amani kabisa.

Kwanin na yeye asianzishe ata festival yake jamaani??? kwanin kila siku siye na majonzi.. ata kama watu watakua wachache aijalishi cha msingi tujisikie furaha.

Au nyie mnaonaje Team Kiba wenzangu?? Uyu ni kijana wetu inabidi tumpiganie.

Yooahh!!!!
 
Timu zitawaua wenzenu wanakula kuku kwa mirija. Kiba na jumba lake full kiyoyozi analindwa na kksecurity. Dimond anakula raha dubai mara sijui toronto, nyie bakini kupata presha kwa ajili ya watu wakati hata famillia zenu hamjui zitakula nini kesho. To hell with teams mm nasikiliza mziki wwt mzuri
 
Team kibamia mnaitwa huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…