Kwa wenzetu nchi za Uarabuni hii imetumika sana na imeleta mabadiko makubwa ktk kisiasa, sababu kubwa mwamko wa elimu kwa vijana upo juu
Tanzania bado kabisa, wengi wanaona kama sehemu ya burudani, matusi, propaganda na sio sehemu sahihi za mabadiliko.
Hili team Lissu mumedanganyika.
Lema, Heche wameingia ktk mtufuano huu kwa # za mitandao ya X na sio mapenzi yao.
Kwa muda wa wiki sasa nafatilia hili na hili ndio nilloligundua. # za kumtaka Heche na Lema zilikua nyingi kila siku zikienda hatimae wakaingia.
Subiri sasa muone ubaya wa# ktk siasa za chadema