Team Lissu tulieni dawa iingie, pole Freeman Mbowe unavuna ulichopanda

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Kwanza nianze kwa kudkrea interest Mimi ni mwachadema kindaki ndaki nilitejiunga na chama Cha demokrasia na MAENDELEO Mwaka 2011 nikiwa chuo kikuu Mwaka wa kwanza.

Wakati tunajiunga tulikuwa vijana wengi, tusio pungua Saba wakiwemo wakina Lijualikari na wengine wengi ambao baadhi wameisha unga mkono juhudi lakini badhi yetu Bado tuna kilinda chama hiki kwa wivu mkubwa paspo kupanda majukwani.

Kwa namna ya pekee lazima tukili yakuwa miaka 2011 chadems kilikuwa kinavuma sana vyuo vikuuu CHINI ya usimamizi wake makini Dr Slaa kama mtendaji wake mkuu wa chama na wasaidizi waking Regia Mtema Mwenyezi Mungu amrehemu, Katibu mkuu wa Sasa ndugu John Mnyika na wengine waliokuwa watendaji pale OFISINI makao makuu na ndio walio tupokea chamani. Binafsi na wenzangu wote Kai zetu za uhanachama zilisainiwa na John Mnyika na Regia Mtema.

Sisi ndo waasisi wa kitu kinaitwa chaso siku hizi nayo sidhani kama IPO maana wasomi wa Leo wako tayari kuongozwa na mataila.

Moja ya changamoto tulipo maliza vyuo vikuuu ni jinsi ya kupenetret katika majbali ya siasa ambayo yaliisha jitanabaisha yakuwa yo ndo miamba ya siasa kwa kuwa wabunge na viongozi wa Kanda mbali mbali iwe uweze toboa?

Njia pekee ilikuwa ni either usubilie Lema Afe, hence Afe, wenje Afe, msigwa Afe ndo wewe uweze kupenya kuwa mtu Ili lilidhilika hata mwenzetu kufikia hatua y kuwa diwani au mbunge kule kilombero ilikuwa ni baada ya vifo u kifo Cha mbunge ndipo alipopata fursa ya kugombea maana chama hakikuwa na option zaidii ya yule bwana sipendi kumwandika majina yake maana alitusaliti.

Changamoto hii Mh mbowe amekuja kuiona ila is too late,wale vijana alio wagrow na kuwapa position wapo waliosaliti, wapo walio kuwa na mpango wa kuwa waaini dhidi yake ndani ya chama, kwa ufupi mbowe is too late or not, lazima ajifunze kugrow watu withi a specific period of time Ili kuondoa kiburi kwa watu kama akina peter msigwa, God bless Lema na wenzake ambao waliisha amini bira wao Kanda hazipo,

Mtu kama lema kweli alikuwa wa kukimbia uchaguzi wa Kanda hata KUPIGA kura aliona aibu akakimbili Canada kwa mkewe?

Pamoja na makosa y Mbowe yaliyomfanya akachelewa nampongeza kwa kushutukia mchezo mchafu na Nina amua kumuunga mkono miaka yake mitano aondoke

Sasa ninauliza nani asie penda kufanya mapenzi? Raha y penzi ni mshenyentano raha ya siasa ni boksi la kura team tundu lisu jiandae kushenyentwa kwenye boski la kura kwa Nini mnalazimisha ajitoe?
 
Team Lisu wajinga sana, wanakwenda wakiiua CHADEAMA kwa uchu wao wa Madaraka.

Usaliti, na wanachokiita Mapinduzi vitakuja kuwatafuna wenyewe.

Maana hawatapata mbunge hata mmoja, watataabika na chama bila ruzuku, na Lisu atakwenda Belgium, ndio itakuwa mwisho wao.

Lakini najua hata hilo likitokea watamsingizia Mbowe.
 
Huyo Mbowe na Wenje ndio watashinda nini? Hivi kuna mjinga atampa kura akigombea urais?

Mbowe is senile, Bavicha imemshamkataa angesoma alama kuliko kuaibika hiyo jumanne
 
Hao akina Lisu, Lema, Heche unadhani walibebwa kwa mbeleko mpaka kufikia status walizonazo sasa?

Lisu alikuwa na harakati zake toka enzi na enzi, amekuja kuombwa ajiunge CHADEMA akiwa na 37yrs.

Lema kwa mara ya kwanza aligombea ubunge kupitia TLP mwaka 2005 na akapata kura 42k dhidi ya 44k za CCM.

Yani wana walikuwa wana harakati zao personal since enzi.

Sasa ww unakuja hapa kujilizaliza kwa nn? Ingia na ww front kama akina Soka, jenga jina lako uone kama haujapata political milestone kirahisi .
 
Kwanza nianze kwa kudkrea interest Mimi ni mwachadema kindaki ndaki nilitejiunga na chama Cha demokrasia na MAENDELEO Mwaka 2011 nikiwa chuo kikuu Mwaka wa kwanza.

Wakati tunajiunga tulikuwa vijana wengi, tusio pungua Saba wakiwemo wakina Lijualikari na wengine wengi ambao baadhi wameisha unga mkono juhudi lakini badhi yetu Bado tuna kilinda chama hiki kwa wivu mkubwa paspo kupanda majukwani.

Kwa namna ya pekee lazima tukili yakuwa miaka 2011 chadems kilikuwa kinavuma sana vyuo vikuuu CHINI ya usimamizi wake makini Dr Slaa kama mtendaji wake mkuu wa chama na wasaidizi waking Regia Mtema Mwenyezi Mungu amrehemu, Katibu mkuu wa Sasa ndugu John Mnyika na wengine waliokuwa watendaji pale OFISINI makao makuu na ndio walio tupokea chamani. Binafsi na wenzangu wote Kai zetu za uhanachama zilisainiwa na John Mnyika na Regia Mtema.

Sisi ndo waasisi wa kitu kinaitwa chaso siku hizi nayo sidhani kama IPO maana wasomi wa Leo wako tayari kuongozwa na mataila.

Moja ya changamoto tulipo maliza vyuo vikuuu ni jinsi ya kupenetret katika majbali ya siasa ambayo yaliisha jitanabaisha yakuwa yo ndo miamba ya siasa kwa kuwa wabunge na viongozi wa Kanda mbali mbali iwe uweze toboa?

Njia pekee ilikuwa ni either usubilie Lema Afe, hence Afe, wenje Afe, msigwa Afe ndo wewe uweze kupenya kuwa mtu Ili lilidhilika hata mwenzetu kufikia hatua y kuwa diwani au mbunge kule kilombero ilikuwa ni baada ya vifo u kifo Cha mbunge ndipo alipopata fursa ya kugombea maana chama hakikuwa na option zaidii ya yule bwana sipendi kumwandika majina yake maana alitusaliti.

Changamoto hii Mh mbowe amekuja kuiona ila is too late,wale vijana alio wagrow na kuwapa position wapo waliosaliti, wapo walio kuwa na mpango wa kuwa waaini dhidi yake ndani ya chama, kwa ufupi mbowe is too late or not, lazima ajifunze kugrow watu withi a specific period of time Ili kuondoa kiburi kwa watu kama akina peter msigwa, God bless Lema na wenzake ambao waliisha amini bira wao Kanda hazipo,

Mtu kama lema kweli alikuwa wa kukimbia uchaguzi wa Kanda hata KUPIGA kura aliona aibu akakimbili Canada kwa mkewe?

Pamoja na makosa y Mbowe yaliyomfanya akachelewa nampongeza kwa kushutukia mchezo mchafu na Nina amua kumuunga mkono miaka yake mitano aondoke

Sasa ninauliza nani asie penda kufanya mapenzi? Raha y penzi ni mshenyentano raha ya siasa ni boksi la kura team tundu lisu jiandae kushenyentwa kwenye boski la kura kwa Nini mnalazimisha ajitoe?

Kwanza nianze kwa kudkrea interest Mimi ni mwachadema kindaki ndaki nilitejiunga na chama Cha demokrasia na MAENDELEO Mwaka 2011 nikiwa chuo kikuu Mwaka wa kwanza.

Wakati tunajiunga tulikuwa vijana wengi, tusio pungua Saba wakiwemo wakina Lijualikari na wengine wengi ambao baadhi wameisha unga mkono juhudi lakini badhi yetu Bado tuna kilinda chama hiki kwa wivu mkubwa paspo kupanda majukwani.

Kwa namna ya pekee lazima tukili yakuwa miaka 2011 chadems kilikuwa kinavuma sana vyuo vikuuu CHINI ya usimamizi wake makini Dr Slaa kama mtendaji wake mkuu wa chama na wasaidizi waking Regia Mtema Mwenyezi Mungu amrehemu, Katibu mkuu wa Sasa ndugu John Mnyika na wengine waliokuwa watendaji pale OFISINI makao makuu na ndio walio tupokea chamani. Binafsi na wenzangu wote Kai zetu za uhanachama zilisainiwa na John Mnyika na Regia Mtema.

Sisi ndo waasisi wa kitu kinaitwa chaso siku hizi nayo sidhani kama IPO maana wasomi wa Leo wako tayari kuongozwa na mataila.

Moja ya changamoto tulipo maliza vyuo vikuuu ni jinsi ya kupenetret katika majbali ya siasa ambayo yaliisha jitanabaisha yakuwa yo ndo miamba ya siasa kwa kuwa wabunge na viongozi wa Kanda mbali mbali iwe uweze toboa?

Njia pekee ilikuwa ni either usubilie Lema Afe, hence Afe, wenje Afe, msigwa Afe ndo wewe uweze kupenya kuwa mtu Ili lilidhilika hata mwenzetu kufikia hatua y kuwa diwani au mbunge kule kilombero ilikuwa ni baada ya vifo u kifo Cha mbunge ndipo alipopata fursa ya kugombea maana chama hakikuwa na option zaidii ya yule bwana sipendi kumwandika majina yake maana alitusaliti.

Changamoto hii Mh mbowe amekuja kuiona ila is too late,wale vijana alio wagrow na kuwapa position wapo waliosaliti, wapo walio kuwa na mpango wa kuwa waaini dhidi yake ndani ya chama, kwa ufupi mbowe is too late or not, lazima ajifunze kugrow watu withi a specific period of time Ili kuondoa kiburi kwa watu kama akina peter msigwa, God bless Lema na wenzake ambao waliisha amini bira wao Kanda hazipo,

Mtu kama lema kweli alikuwa wa kukimbia uchaguzi wa Kanda hata KUPIGA kura aliona aibu akakimbili Canada kwa mkewe?

Pamoja na makosa y Mbowe yaliyomfanya akachelewa nampongeza kwa kushutukia mchezo mchafu na Nina amua kumuunga mkono miaka yake mitano aondoke

Sasa ninauliza nani asie penda kufanya mapenzi? Raha y penzi ni mshenyentano raha ya siasa ni boksi la kura team tundu lisu jiandae kushenyentwa kwenye boski la kura kwa Nini mnalazimisha ajitoe?
Wewe unajiita msomi hata kuandika hujui,pole sana kijana

Rudi shule
 
Huyo Mbowe na Wenje ndio watashinda nini? Hivi kuna mjinga atampa kura akigombea urais?

Mbowe is senile, Bavicha imemshamkataa angesoma alama kuliko kuaibika hiyo jumanne
Kwani kinagombewa kiti cha Urais au uwenyekiti wa chadema? Na sasa nani atampigia kura Lisu akigombea urais kwa aliyoyaonyesha?
 
Team Lisu wajinga sana, wanakwenda wakiiua CHADEAMA kwa uchu wao wa Madaraka.

Usaliti, na wanachokiita Mapinduzi vitakuja kuwatafuna wenyewe.

Maana hawatapata mbunge hata mmoja, watataabika na chama bila ruzuku, na Lisu atakwenda Belgium, ndio itakuwa mwisho wao.

Lakini najua hata hilo likitokea watamsingizia Mbowe.
Mimi binafsi sio mwana chadema lakini naona aibu sana nikikutana na post kama hizi,kabisa una support mbowe aendelee kuwa mwenyekiti?unatala yawakute kama ya lipumba wa CUF?

Jifunze kupeana nafasi,haiwezekani miaka 20 anaongoza yeye tu,chama ni chake?
 
Kinachoangaliwa Oktoba huyo Mbowe kampeni atafanyia wapi? Nawashangaa sana mnaoforce huyo jamaa awe mwenyekiti wakati hamna analoweza ku achieve.
 
Siasa ni kubebana na kujuana zaidi
Ukiangalia pande zote za vyama wapo wengi sana ambao mpaka wafe
Yaani wapo wapo tu kila mwaka
Hata huyu anaegombea unafikiri atatoka akikalia kiti?

Subutu atajiona bila yeye hakuna kinachofanyika
Na team yake atakuwa nao mpaka miaka hata 30 ijayo
Tamaa mbaya sana
 
Kinachoangaliwa Oktoba huyo Mbowe kampeni atafanyia wapi? Nawashangaa sana mnaoforce huyo jamaa awe mwenyekiti wakati hamna analoweza ku achieve.
Lazima ushangae, maana CHADEMA imefikia umaarufu ilio nao kwasababu yeye ni mwenyekiti, sasa sijui unaposema hawezi unamaanisha nini? Lisu kafanya nini kwenye nafasi yake ya Umakamu Mwenyekiti?

Mbowe kakijenga chama mpaka kimekuwa chama mbadala, na ni yeye kafanya kina Lisu kujiunga chadema, vinginevyo labda Lisu angekuwa NCCR Mageuzi, Leo unashangaa Mbowe kwanini tunataka awe Mwenyekiti?

Mbowe anayo record tena nzuri tu. CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe imekuwa Imara hadi kufikia nyie WANAMAPINDUZI hamtaki kuondoka, mnalazimisha mbaki kuendelea kukiua kwasababu zenu, wakati mkifahamu Lisu hatoweza.

Lisu hawezi kukubaliana na vyama vyenzake, hawezi kufanya mazungumzo na Serikali, Yeye anaamini kwenye fujo na kulazimisha, kitu ambacho hakitamfikisha popote. Tangu awe Makamu mwenyekiti, CHADEMA imekuwa dhaifu, kwanini tumkubali?

Hivyo ni bora tuendelee kumuamini Mbowe.

Lisu HAFAI, Tena hilo genge lake ndilo linamuharibia kabisa, Team Lisu wamekuwa na matusi sana, kujiona wao wanaakili sana kuliko binadamu yeyote Nchi hii, Sasa ni Bora mkazitumie akili zenu, kuanzisha chama chenu mkilee , na kikue kiwe maarufu kama Chadema.
 
Mimi binafsi sio mwana chadema lakini naona aibu sana nikikutana na post kama hizi,kabisa una support mbowe aendelee kuwa mwenyekiti?unatala yawakute kama ya lipumba wa CUF?

Jifunze kupeana nafasi,haiwezekani miaka 20 anaongoza yeye tu,chama ni chake?
Hata ungekuwa Mwana CHADEMA, siasa za chadema zinaruhusu demokrasia, sio kama za CCM, ambao wanarithishana madaraka na kupeana kwa kujuana na favours, na upendeleo.

Sasa penye demokrasia, watu hugombea nafasi na wanapigiwa kura, na atakayepata kura nyingi ndiye mshindi. Mbowe ni mgombea, na Lisu ni Mgombea. Wapigiwe kura na mmoja ashinde hiyo ndiyo demokrasia, siyo mmoja amuachie mwingine.

Kama mbowe hafai, wajumbe wataamua hilo, kwenye Box la Kura na siyo vinginevyo. ya CUF na Lipumba huo ni mjadala tofauti, haufanani na huu wa chadema, hivyo Team Lisu msitafute huruma.

Kubalini uchaguzi ufanyike na tutamkubali mshindi.
 
Team Lisu wajinga sana, wanakwenda wakiiua CHADEAMA kwa uchu wao wa Madaraka.

Usaliti, na wanachokiita Mapinduzi vitakuja kuwatafuna wenyewe.

Maana hawatapata mbunge hata mmoja, watataabika na chama bila ruzuku, na Lisu atakwenda Belgium, ndio itakuwa mwisho wao.

Lakini najua hata hilo likitokea watamsingizia Mbowe.
Uchu wa madaraka ni mbowe, miaka 20+ kasahau nn😂
 
Kwanza nianze kwa kudkrea interest Mimi ni mwachadema kindaki ndaki nilitejiunga na chama Cha demokrasia na MAENDELEO Mwaka 2011 nikiwa chuo kikuu Mwaka wa kwanza.

Wakati tunajiunga tulikuwa vijana wengi, tusio pungua Saba wakiwemo wakina Lijualikari na wengine wengi ambao baadhi wameisha unga mkono juhudi lakini badhi yetu Bado tuna kilinda chama hiki kwa wivu mkubwa paspo kupanda majukwani.

Kwa namna ya pekee lazima tukili yakuwa miaka 2011 chadems kilikuwa kinavuma sana vyuo vikuuu CHINI ya usimamizi wake makini Dr Slaa kama mtendaji wake mkuu wa chama na wasaidizi waking Regia Mtema Mwenyezi Mungu amrehemu, Katibu mkuu wa Sasa ndugu John Mnyika na wengine waliokuwa watendaji pale OFISINI makao makuu na ndio walio tupokea chamani. Binafsi na wenzangu wote Kai zetu za uhanachama zilisainiwa na John Mnyika na Regia Mtema.

Sisi ndo waasisi wa kitu kinaitwa chaso siku hizi nayo sidhani kama IPO maana wasomi wa Leo wako tayari kuongozwa na mataila.

Moja ya changamoto tulipo maliza vyuo vikuuu ni jinsi ya kupenetret katika majbali ya siasa ambayo yaliisha jitanabaisha yakuwa yo ndo miamba ya siasa kwa kuwa wabunge na viongozi wa Kanda mbali mbali iwe uweze toboa?

Njia pekee ilikuwa ni either usubilie Lema Afe, hence Afe, wenje Afe, msigwa Afe ndo wewe uweze kupenya kuwa mtu Ili lilidhilika hata mwenzetu kufikia hatua y kuwa diwani au mbunge kule kilombero ilikuwa ni baada ya vifo u kifo Cha mbunge ndipo alipopata fursa ya kugombea maana chama hakikuwa na option zaidii ya yule bwana sipendi kumwandika majina yake maana alitusaliti.

Changamoto hii Mh mbowe amekuja kuiona ila is too late,wale vijana alio wagrow na kuwapa position wapo waliosaliti, wapo walio kuwa na mpango wa kuwa waaini dhidi yake ndani ya chama, kwa ufupi mbowe is too late or not, lazima ajifunze kugrow watu withi a specific period of time Ili kuondoa kiburi kwa watu kama akina peter msigwa, God bless Lema na wenzake ambao waliisha amini bira wao Kanda hazipo,

Mtu kama lema kweli alikuwa wa kukimbia uchaguzi wa Kanda hata KUPIGA kura aliona aibu akakimbili Canada kwa mkewe?

Pamoja na makosa y Mbowe yaliyomfanya akachelewa nampongeza kwa kushutukia mchezo mchafu na Nina amua kumuunga mkono miaka yake mitano aondoke

Sasa ninauliza nani asie penda kufanya mapenzi? Raha y penzi ni mshenyentano raha ya siasa ni boksi la kura team tundu lisu jiandae kushenyentwa kwenye boski la kura kwa Nini mnalazimisha ajitoe?
Hapo chuoni ulienda kusomea ujinga? Kama uli graduate tangu 2011 na bado unaandika mashudu basi Udsm ni kiwanda cha kuzalisha vilaza.
 
Kwani kinagombewa kiti cha Urais au uwenyekiti wa chadema? Na sasa nani atampigia kura Lisu akigombea urais kwa aliyoyaonyesha?
Unadhani kura utapiga wewe tu? Toa uchawa wako hapa
 
Kwanza nianze kwa kudkrea interest Mimi ni mwachadema kindaki ndaki nilitejiunga na chama Cha demokrasia na MAENDELEO Mwaka 2011 nikiwa chuo kikuu Mwaka wa kwanza.

Wakati tunajiunga tulikuwa vijana wengi, tusio pungua Saba wakiwemo wakina Lijualikari na wengine wengi ambao baadhi wameisha unga mkono juhudi lakini badhi yetu Bado tuna kilinda chama hiki kwa wivu mkubwa paspo kupanda majukwani.

Kwa namna ya pekee lazima tukili yakuwa miaka 2011 chadems kilikuwa kinavuma sana vyuo vikuuu CHINI ya usimamizi wake makini Dr Slaa kama mtendaji wake mkuu wa chama na wasaidizi waking Regia Mtema Mwenyezi Mungu amrehemu, Katibu mkuu wa Sasa ndugu John Mnyika na wengine waliokuwa watendaji pale OFISINI makao makuu na ndio walio tupokea chamani. Binafsi na wenzangu wote Kai zetu za uhanachama zilisainiwa na John Mnyika na Regia Mtema.

Sisi ndo waasisi wa kitu kinaitwa chaso siku hizi nayo sidhani kama IPO maana wasomi wa Leo wako tayari kuongozwa na mataila.

Moja ya changamoto tulipo maliza vyuo vikuuu ni jinsi ya kupenetret katika majbali ya siasa ambayo yaliisha jitanabaisha yakuwa yo ndo miamba ya siasa kwa kuwa wabunge na viongozi wa Kanda mbali mbali iwe uweze toboa?

Njia pekee ilikuwa ni either usubilie Lema Afe, hence Afe, wenje Afe, msigwa Afe ndo wewe uweze kupenya kuwa mtu Ili lilidhilika hata mwenzetu kufikia hatua y kuwa diwani au mbunge kule kilombero ilikuwa ni baada ya vifo u kifo Cha mbunge ndipo alipopata fursa ya kugombea maana chama hakikuwa na option zaidii ya yule bwana sipendi kumwandika majina yake maana alitusaliti.

Changamoto hii Mh mbowe amekuja kuiona ila is too late,wale vijana alio wagrow na kuwapa position wapo waliosaliti, wapo walio kuwa na mpango wa kuwa waaini dhidi yake ndani ya chama, kwa ufupi mbowe is too late or not, lazima ajifunze kugrow watu withi a specific period of time Ili kuondoa kiburi kwa watu kama akina peter msigwa, God bless Lema na wenzake ambao waliisha amini bira wao Kanda hazipo,

Mtu kama lema kweli alikuwa wa kukimbia uchaguzi wa Kanda hata KUPIGA kura aliona aibu akakimbili Canada kwa mkewe?

Pamoja na makosa y Mbowe yaliyomfanya akachelewa nampongeza kwa kushutukia mchezo mchafu na Nina amua kumuunga mkono miaka yake mitano aondoke

Sasa ninauliza nani asie penda kufanya mapenzi? Raha y penzi ni mshenyentano raha ya siasa ni boksi la kura team tundu lisu jiandae kushenyentwa kwenye boski la kura kwa Nini mnalazimisha ajitoe?
Andishi refu lakini pumba tu
 
Uchu wa madaraka ni mbowe, miaka 20+ kasahau nn😂
Lisu anaulilia kila siku, Mbowe ana chaguliwa kwa kila miaka mitano. Lisu anataka aachiwe. Analalamika na kulia lia unaweza kudhani kawekeza chochote ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom