Team Lissu tulieni dawa iingie, pole Freeman Mbowe unavuna ulichopanda

Team Lissu tulieni dawa iingie, pole Freeman Mbowe unavuna ulichopanda

1737085020100.png
 
Lisu hawezi kukubaliana na vyama vyenzake, hawezi kufanya mazungumzo na Serikali, Yeye anaamini kwenye fujo na kulazimisha, kitu ambacho hakitamfikisha popote. Tangu awe Makamu mwenyekiti, CHADEMA imekuwa dhaifu, kwanini tumkubali
Mbona hatukuona haya alipokua mnadhimu mkuu wa KUB pamoja na Rais wa TLS!! Mlisema hivi hivi kwa Mwabukusi mbona hatujaona vurugu yoyote.
 
Lisu kafanya nini kwenye nafasi yake ya Umakamu Mwenyekiti?
Ndio pekee aliyekeep Chadema alive enzi za JPM!! kama sio Lissu kuwa vibrant chadema ingeshapotea!! Na hata sasa ndio mtu pekee msafi chadema asiye na doa la rushwa wala wizi unamuachaje huyu umchukue huyo mzee tapeli. Pia ndio anaipa uhai chadema kwa image ya chadema ya kale iliyokua na Dr Slaa, Wangwe, Zitto na Kaborou!! Bila kuchaguliwa Lissu ndio chama kinaenda kufa hivyo.

Tukutane oktoba
 
Mbowe kajenga Chama mpaka kimekuwa kilivyo, mi nawaambia Lisu akishinda kinakufa. Wanaotaka madaraka na vyeo ndani ya Team Lisu ni wengi kuliko nafasi zilizopo, na wote wapiga kelele kama Lisu mwenyewe. Hapo hakutakuwa na chama, kutakuwa na full mihemko.
 
Back
Top Bottom