Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Jembe lililoaminiwa na Magufuli kwenye madini,limepewa unaibu Waziri Mkuu,jembe lingine Mnyeti kapewa unaibu Waziri.
Lakini je, watoto wa kambo watalipa fadhila hizo. Je, Bashiru kuchukua form ya urais CCM hata kama itampelekea kufutwa uanachama!?
Je, top three inakubaliana kuhusu yanayoendelea sasa hususahi kuhusu bandari!? Je Kanisa Katoliki la Roma litawafanya nini viongozi wa chama na Serikali walioshiriki kwenye mkataba wa bandari!?
Je, waumini wa Kanisa la Roman Katoliki watakubali kuipigia kura CCM iliyopitisha mkataba wa bandari!?
Je, kuna Chama kipya kinakuna kitakachopewa support na Kanisa Katoliki la Roma!?