Comrade Liu Yang
Senior Member
- Aug 16, 2023
- 161
- 282
Tangu aondoke JPM duniani hakuna team JPM ilikua na amani lakini nawahakikishia kila Team JPM leo moyo wake utalala na amani kubwa sana.
Uteuzi wa Makonda Umeibua vigelegele na shangwe sio za kawaida mioyoni mwa Team JPM.
Hakika Mama amejua kugusa Mioyo ya Watu, Kwa Shangwe hili sipati tabu kujua Mgombea Urais 2030 na ushindi ni ule ule.
CCM ina reserve nyingi sana ikiamua tu inachomoa inapachika inakoki SHABAAAA...