Team Magufuli vs Uteuzi wa Makonda

Comrade Liu Yang

Senior Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
161
Reaction score
282
Tangu aondoke JPM duniani hakuna team JPM ilikua na amani lakini nawahakikishia kila Team JPM leo moyo wake utalala na amani kubwa sana.

Uteuzi wa Makonda Umeibua vigelegele na shangwe sio za kawaida mioyoni mwa Team JPM.

Hakika Mama amejua kugusa Mioyo ya Watu, Kwa Shangwe hili sipati tabu kujua Mgombea Urais 2030 na ushindi ni ule ule.

CCM ina reserve nyingi sana ikiamua tu inachomoa inapachika inakoki SHABAAAA...
 
Takataka
 
Rudi na ID yako ya kawaida Uone.
Huwa hutoboi na mada zako bila ya kutaja jina la Hayat Rais?

Hii ndi nini?
 
Tujadili Mkataba.
Haya mauteuzi yasitutoe relini
 
ukichinjwa unatoka damu ya kijani.. buku 7 wa lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…